Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Wakuu naitaji msaada kwenye izi simu za android za tecno badala kujaza chaji zenyewe zinakua zinashusha solution yake ipi
 
Simu yangu ni tecno c 7 inatatizo la Kuto discrow messages zilizojuu nje ya simu,nifanye kitu gan irud kua sawa Kama mwanzo
 
Habari njema kwa mafundi wenzangu
Nawaletea unlocked firmware za HALOTEL zitakokuwezesha kutoa network lock kwenye simu husika na kutumia line ya mtandao wowte ule bila kuwa na line ya halotel katika slot 1.
1.HALOTEL H6301
2.HALOTEL H6302
3.HALOTEL H6307
4.HALOTEL H6308
5.HALOTEL H6309
6.HALOTEL H6402
7.HALOTEL H8505.

Gharama ya kila file ni tsh.5000 tu.kwa wanahitaji tuwasiliane kupitia 0766334991 call/text/whatsapp

Pia kwa wale pia wanahitaji exlusive files kutoka needrom zinapatikana,factory signed firmware za tecno,infinix na itel nazo zipo pia
 
...
vije hizi za *times hs210-ha stb, dekoda pin imejilock ile ya six digit, ya 4digit ninayo.
...
 
Samsung s6
Display imekufa
IPO sokoni, Bei 60 elfu
Imetumika miezi miwili haina scratch yoyote zaid ya kioo..
Anayehitaji ani Pm.
 
hyo bei ni rahisi sana mzee. sisi tunazibadlisha kwa 50k
Je naweza kupata Circuit na Display ya Huawei ( U8220 )

Na gharama yake ni kiasi gani? View attachment 931002
IMG_20181112_120231.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom