Zitto ni sehemu ya hilo kundi.ni kinara wa kundi hilo.Ameanzisha thread na kundi lake lote liko vitani kuwachafua dr.slaa na freeman mbowe.lengo ni wachafuke ili yeye aonekane anafaa kuwa mwenyekiti wa chama mwakani na mgombea urais 2015.haelewi kwamba huwezi kuwa maarufu kwa kuwatukana wenginehivi Mbona Zitto yupo kimya hakemia hawa watu wanaotukana na kudhalilisha chama na viongozi wake wa juu hapa? Nilitegemea Yy kama Katibu msaidizi atoe kauli hapa. Ama anataka tuamini na yy anahusika kwa haya matusi na kejeli kwa viongozi wa chama chake? Zitto upo kweli? ua letting me down Brother. Pls Say something on that.
zitto hii kazi ya kumchafua mbowe haitakusaidia hapa JF.shirikiana na viongozi wenzako
mchange na mwampamba na kundi lenu mna akili ndogo sana.hivi mnafanya nini chadema kama kazi yenu kukichafua chama na viongozi?kwa kufanya hivyo si heri hao wakaskazini wenye akili waongoze tu kuliko akili ndogo mnazoonyesha hapa?
hii tabia ya baadhi ya vijana kuja huku kutukana na kuchafua baadhi ya viongozi ni usaliti usiokubalika.serikali ya ccm inachafua viongozi na chama chetu kwa kutumia vibaya hata dola.leo tuna vijana ndani ya chama kazi yao ni kutukana na kuhujumu chama kwa gharama yoyote ile kuizidi hata ccm.vijana wa aina hii ni wa kazi gani ndani ya chama?you have personal interest with him bisha !!!!!!
fuatilia post zake zote uone kama ninachokisema ni uongo she has personal interest sio interest na chama au mchango wake katika hiyo chademahii tabia ya baadhi ya vijana kuja huku kutukana na kuchafua baadhi ya viongozi ni usaliti usiokubalika.serikali ya ccm inachafua viongozi na chama chetu kwa kutumia vibaya hata dola.leo tuna vijana ndani ya chama kazi yao ni kutukana na kuhujumu chama kwa gharama yoyote ile kuizidi hata ccm.vijana wa aina hii ni wa kazi gani ndani ya chama?
Chama hiki watu wamepoteza maisha,watu wamefilisika kwa ajili ya kukiamini na kuona njia ya mabadiliko kupitia chadema.ni aibu kuona hata naibu katibu mkuu yupo mstari wa mbele katika kuunda kundi la aina hii.
Vijana wenye akili timamu hatutawaruhusu watu wa aina hii.wasaliti wa aina hii ni bora waondoke wenyewe.hakuna nafasi ya kulea upuuzi kama huu
Kama akili za Josephine Mushumbus? ....mchange na mwampamba na kundi lenu mna akili ndogo sana.hivi mnafanya nini chadema kama kazi yenu kukichafua chama na uviongozi?kwa kufanya hivyo si heri hao wakaskazini wenye akili waongoze tu kuliko akili ndogo mnazoonyesha hapa?
Zitto ni sehemu ya hilo kundi.ni kinara wa kundi hilo.Ameanzisha thread na kundi lake lote liko vitani kuwachafua dr.slaa na freeman mbowe.lengo ni wachafuke ili yeye aonekane anafaa kuwa mwenyekiti wa chama mwakani na mgombea urais 2015.haelewi kwamba huwezi kuwa maarufu kwa kuwatukana wengine
Wewe!!!!! Mwambie Zitto arudishe mshahara anaolipwa na zile kampuni za madini..... hapo ndo atakuwa na haki ya kusema.
hawa ndiyo vijana waliotaka kuongoza BAVICHA?Kama akili za Josephine Mushumbus? ....
kama walifanya mbowe na slaa kumkanyaga wangwe na kuutoa uhai wake ili waendelee kuwa viongozi? ....zitto hana hizo qualities...ni mtu ambaye yupo tayari kukanyaga juu ya wenzake ayafikie malengo anayohitaji.huu unafiki wake ni mbaya sana.autafika popote ndani ya chadema
waache waendelee.wataona
Zitto ni sehemu ya hilo kundi.ni kinara wa kundi hilo.Ameanzisha thread na kundi lake lote liko vitani kuwachafua dr.slaa na freeman mbowe.lengo ni wachafuke ili yeye aonekane anafaa kuwa mwenyekiti wa chama mwakani na mgombea urais 2015.haelewi kwamba huwezi kuwa maarufu kwa kuwatukana wengine
hawa ndiyo vijana waliotaka kuongoza BAVICHA?
hawa ndiyo vijana waliotaka kuongoza BAVICHA?
akajibuzitto hii kazi ya kumchafua mbowe haitakusaidia hapa JF.shirikiana na viongozi wenzako
Zitto ndiye rais ajaye wa masikini wanzake! ...wafanyabiashara matajiri wakagimbea urais wa chama cha wafanya biashara wenzao ama chama cha wamiliki wa viwanda na club Zaria usiku! ...
Kwani wewe itakusaidia nini kumchafua zitto mtandaoni kwa kutumiwa na mbowe? ...waambie kwanza Mbowe na slaa waache kumchafua zitto mtandaoni na kumsingizia mambo asiyoyafanya! ....tena wewe mbowe na Uache kabisa! ....
pianikamwambia Haze(mchange) na Gongo2(mwampamba)sijakuchafua mahali popote.
kama ni mbowe mpigie simu huko aliko umwambie
endelezeni hii vita yenu tu itafika mwisho.usaliti wenu kwa chadema ipo siku utawatokea puani
watu wako kazini wanajenga chama ninyi kazi yenu kubomoa tu kwa kushirikiana na ccm.hamieni huko ccm au chaumma mtakua na raha kuliko chadema
akaja member mmoja mwenye busara na kuona mbali akaandika hivimchange na mwampamba na kundi lenu mna akili ndogo sana.hivi mnafanya nini chadema kama kazi yenu kukichafua chama na viongozi?kwa kufanya hivyo si heri hao wakaskazini wenye akili waongoze tu kuliko akili ndogo mnazoonyesha hapa?
hivi Mbona Zitto yupo kimya hakemia hawa watu wanaotukana na kudhalilisha chama na viongozi wake wa juu hapa? Nilitegemea Yy kama Katibu msaidizi atoe kauli hapa. Ama anataka tuamini na yy anahusika kwa haya matusi na kejeli kwa viongozi wa chama chake? Zitto upo kweli? ua letting me down Brother. Pls Say something on that.
Zitto ni sehemu ya hilo kundi.ni kinara wa kundi hilo.Ameanzisha thread na kundi lake lote liko vitani kuwachafua dr.slaa na freeman mbowe.lengo ni wachafuke ili yeye aonekane anafaa kuwa mwenyekiti wa chama mwakani na mgombea urais 2015.haelewi kwamba huwezi kuwa maarufu kwa kuwatukana wengine
wao wakaja kufunga mjadala na kuturidhisha.JF mmeshajua aina ya vijana ambao Mbowe na Slaa wanawalea tu huku wakisababisha madhara haya makubwa kwa chama kwa kushirikiana na vibaraka wengine na CCM.Hitimisho lao hapa chini ndilo wanalotumia kuja kutukana watu JFhii tabia ya baadhi ya vijana kuja huku kutukana na kuchafua baadhi ya viongozi ni usaliti usiokubalika.serikali ya ccm inachafua viongozi na chama chetu kwa kutumia vibaya hata dola.leo tuna vijana ndani ya chama kazi yao ni kutukana na kuhujumu chama kwa gharama yoyote ile kuizidi hata ccm.vijana wa aina hii ni wa kazi gani ndani ya chama?
chama hiki watu wamepoteza maisha,watu wamefilisika kwa ajili ya kukiamini na kuona njia ya mabadiliko kupitia chadema.ni aibu kuona hata naibu katibu mkuu yupo mstari wa mbele katika kuunda kundi la aina hii.
vijana wenye akili timamu hatutawaruhusu watu wa aina hii.wasaliti wa aina hii ni bora waondoke wenyewe.hakuna nafasi ya kulea upuuzi kama huu
Mbona slaa na mbowe walikuwa wanamchafua zitto kwa kutumia gazeti la mwanahalisi linalomilikiwa na Anthony komu ambaye ni mkurugenzi wa fedha na utawala makao makuu cdm(mchaga) na gazeti hilo lilikuwa linahaririwa na Dk slaa ndio maana baada ya gazeti kufungiwa slaa aliloloma sana kwa kuwa walikuwa wamemnyima alaji na wamempoka nguvu ya kumchafua zitto.sasa leo mnalialia nini au zitto yeye haumii?
kazi ya matamko tumemwachia babubaba slaa.
Nilimwambia mtu anyejiita Gemmy hivi
akajibu
mimi nikamjibu
pianikamwambia Haze(mchange) na Gongo2(mwampamba)
akaja member mmoja mwenye busara na kuona mbali akaandika hivi
Nikamjibu
nikaendelea kusizitiza
wao wakaja kufunga mjadala na kuturidhisha.JF mmeshajua aina ya vijana ambao Mbowe na Slaa wanawalea tu huku wakisababisha madhara haya makubwa kwa chama kwa kushirikiana na vibaraka wengine na CCM.Hitimisho lao hapa chini ndilo wanalotumia kuja kutukana watu JF
hivi Mbona Zitto yupo kimya hakemia hawa watu wanaotukana na kudhalilisha chama na viongozi wake wa juu hapa? Nilitegemea Yy kama Katibu msaidizi atoe kauli hapa. Ama anataka tuamini na yy anahusika kwa haya matusi na kejeli kwa viongozi wa chama chake? Zitto upo kweli? ua letting me down Brother. Pls Say something on that.