Sidhani kama ni mke wa mtu.mwenyewe angekuwa na nguvu kisheria.Majungu anayo Zitto na wenzake humu,kwani wao ndio wanamsakama sana Mbowe na Slaa huku wakimpa Zitto sifa za superman.Hii post yenyewe inaonyesha si makini kihivyo.Na cha kushangaza kashindwa isoma tena na tena hii idea yake ambayo pia aliweka ktk gazeti la raiamwema.
Sidhani kama zitto anao huo uwezo unaousema.Hii article yenyewe inamkana.Chingi nani sasa CDM?Halafu nyie ndio mnamponza Zitto aidi kuwa na tabia za kitoto.Yeye kupta hela ghafla ndio najipima na kila mtu?Majibu yake kuhusu magari aliyokuwa akimiliki jinsi alivyojibu ni wazi kuwa umaskini wake ndio ulimponza akaanza tafuta kuboost esteem yake kwa kumuoyesha Mbowe magari aliyokuwa kiletewa.
Sasa anapima akili?yet macho macho.Akili si kukariri terminologies na kujileka mbele.Akili si kuzifikia dreams zako bila ethics.Akili nyingi si kuwa selfishi namna hii.
wingi wa watu namna hii,na support yake kwa Zitto si siri anahusika na kaweza juhudi kubwa sana.Hili ni sikitiko kwa taifa,sikitiko kwa mwanamapinduzi kuamua chukua njia finyu.Njia ya loosers.Kwani ZItto kwa umri wake hawezi subiri hata kipindi kimoja hadi CDM iingie ktk power wakati anajenga reputations na umri ukienda.Sijui anataka aingie ktk guness book of reords kuwa kaingia akiwa mdogo kuliko?
Alexander the greata lifanya kiwa na 20, na pamekuwa na wapinduaji nchi za africa kibao wenye umri wa miaka 20,nyingine kabla keshafanya.
Ima sure hata Mh. Zitto mwenyewe anajua roho itakavyokuwa haijawahi furahishwa na vitu vingi alivyowahi achieve katika maisha yake. Watu wanaichukia hii attitude na si yeye.
Ni wazi kuwa kila mtu alijua next ni wafuasi wake kuingia kwa fujo na kuibadili thread kuwa ya propaganda kwa fujo.

Kama unadhani maneno kama hayo ndiyo yatampatia Zitto urais basi utakuwa hutumii akili hata kidogo.Unavyoongea hapa,unaonekana ni mtu asiyejisumbuwa kufikiri hata kidogo.
Kuna influx ya nyie members wapya siku ya leo,which siyo jambo baya kwa JF,lakini kwa mijadala hamwezi,ndo mnaoharibu,na mimi niko hapa kuhakikisha hatuwapotezi wale members waliokuwa wameshaanza kurudi jukwaa hili baada ya kuhamia kule GT ama hata kutokuchangia kwa muda.
Ndo hayo hayo ya ubinafsi,eti wivu wa maendeleo ya kisiasa.Mmmeshaharibiwa akili,ni heri mungekuwa munaijuwa JF toka kitambo,basi mngekuwa mnauwezo wa kufikiri kwa mapana kuhusiana na mustakabali wa taifa.Zitto alikuwa member huku toka kitambo tu,lakini tizama alivyorudi hapa na a few thread na some new members who got his back,halafu ona mnayoyasema.
Nakukumbusha kuwa utaijuwa JF.
Kama mnachukia uchagga,then tatizo lenu ukabila,you got to look both ways.
Siwezi kufuta kauli kwamba mnaichukia chadema kwasababu mnachokifanya hakionyeshi mapenzi kwa chama hicho.Huwezi kujijenga ndani ya chama bila kuleta migawanyiko kwa chuki kama hizi?
Kama mnaona kuwa tuhuma zinazoelekezwa kwa Zitto zimetoka kwa viongozi wenzake,kwanini msiwa single out kuliko kutumia udini na ukabila?
Kama ni kweli mnataka mabadiliko ndani ya chadema,then character assasination ndo suluhisho?Maana ni kweli kuwa kwa nmana moja ama nyingine,Slaa na Mbowe wataendelea kuwa viongozi wa chadema,sasa mnataka chuki zenu zifikie pahala ambapo hamtaweza kuongoza kwa pamoja?Is that helpfull for your party?
Ndiyo maana ninahisi kwamba itafika pahala mufanye maamuzi magumu,either kusuka,ama kunyoa.Otherwise mnakuwa kama "crabs in a bucket"
Unikwaze mimi au mkwaze Zitto?Kama ndio mnamfunza huuu upuuzi basi hamna huruma juu yake.Hizi vita za wazi zinachosha sana wana CDM.Na mbaya alisimama bungeni akaongea hayo kipuuzi sana.Sasa anakimbiza kivuli chake.CDM itabaki na yeye nje ya CDM si kitu.Kama anabisha akamuulize mrema kutoka NCCR alipoteza kura zakekiasi gani.Mwambie ahimize PHD yake ili awe king`ang`anizi sana kuwa sasa hivi anastahili hata CDM iwe mfukoni mwake.Hana tofauti na watoto wa mama wengine ambao wakipata shule kidogo tuu mama zao hutaka wapewe kila office.NIlidhani ZItto kakomaa kidogo kwa kiasi cha kutosha waambia wanamhimiza leta chao kuwa anaheshimu taratibu za chama.Ila yeye hata bungeni akiongea utadhani mwanafunzi ajifanyaye mjuaji anavyodai marks hata pasipo na kitu ili aweze wapita watu aliodhani kawazidi.Atadai sana point ili awapite akina Slaa na Mbowe,Mnyika etc ila bado halamashauri kuu itaamua.Na akidhnai ataanza dram za Kibaraka wake Kafulila na Hamad Rashid,wanachama watamchomoa jukwaani.
Ningumu sana kukubadili wewe kama baba zenu ambao ndio role models wenu walijiozesha kwa wachaga.Lazima watawapa picture kubwa ili msiwaone wa hovyo.Zitto ana umasikini wa fikra kuliko wa material things.Zitto ana esteem ndogo sana.Ndio maana haya mambo yanatokea,sasa anapiga kelele zote za kujichafua kuanzia bungeni hadi hapa.Ila halamashauri kuu itaamua.Kizuri ni kwamba tabia lizoonyesha na kauli zake tayrai wana CDM hawatashtuka akishindwa ktk halmashauri kuu.
Mnamdanganya dogo sana,kwani yeye kwanini asioe?Au mpaka atembee nao wengi akidhani anaboost esteem?Ataumia roho sana wakimpiga chini kipindi anatafuta wa kuoa.Nani kasema Muislam safi anastahili chelewa oa bila sababu kama yeye?
Kwani kuzaa ni kukosa kuwa na busara?Kuchelewa pata watoto hakumaanishi kuwa hastahili kuwa na mtoto.
Sidhani kama zitto anao huo uwezo unaousema.Hii article yenyewe inamkana.Chingi nani sasa CDM?Halafu nyie ndio mnamponza Zitto aidi kuwa na tabia za kitoto.Yeye kupta hela ghafla ndio najipima na kila mtu?Majibu yake kuhusu magari aliyokuwa akimiliki jinsi alivyojibu ni wazi kuwa umaskini wake ndio ulimponza akaanza tafuta kuboost esteem yake kwa kumuoyesha Mbowe magari aliyokuwa kiletewa.
Sasa anapima akili?yet macho macho.Akili si kukariri terminologies na kujileka mbele.Akili si kuzifikia dreams zako bila ethics.Akili nyingi si kuwa selfishi namna hii.
Zaha na mwavuli mnasikitisha sana.Yani mnatia huruma kishenzi.Mimi wala sina kadi ya chadema.Kama mmeshikwa pabaya humo kwenye chama chenu,basi mnakuja kota matusi humu,ndipo mnasikitisha kweli kweli.Hakuna kitakachowasaidia kwenye harakati hizi za matusi,mtajikuta mnakosa vyote,yani madaraka mnayoyalilia kwa nguvu zote pamoja kufa kisiasa moja kwa moja.Nyie mnadhani hamfahamiki na viongozi wenzenu?Wanafahamu fika,msidhani hamjulikani kwasababu ya kivuli cha jina feki humu!Na kwa taarifa yenu,hamumsaidii Zitto wala hammzisaidii juhudi zenu zozote zile,badala yake mnaonekana kama mamluki ambao ni desparate tu.Poor you.Miye nawaachia na matusi yenu maana ni wazi watanzania walio wengi wana imani na chadema.
Kama mmmekichukia chama kiasi hiki,ondokeni,mnasubiri nini?Si cha wachagga?fungueni na nyie vyama vya makabila yenu tuone nani atajiunga navyo.
Wenzenu wanajenga chama nyie mnasubiri kipate umaarufu ndo mdandie kwa ku blackmail watu,eti mara dini,mara kabila,eti ili mupewe madaraka.CDM wakifanya huo ujinga ndo watakuwa wamekosea.Nyie ni sumu mbaya dhidi ya ukombozi.
Kama hamkubaliani na chama,ondokeni.Anzisheni thread ya kumwambia Zitto aondoke kwasababu ni chama cha wachagga na wakristo,shida ikwapi?Mnajidhalilisha utu wenu na kuonyesha mlivyo na fikra finyu.Halafu eti ndo mmpewe uongozi,na nani?mnachekesha kweli.Hiki chama hata kingekuwa cha wangoni,madaraka watu kama nyie wasingewapa.