Pia ajue baada ya kupata umaarufu ,pia atahitaji kuanza safari mpya ya ktafutwa heshima.Umaarufu si heshima.by the way sasa hivi anacheza kati ya kuwa (famous and infamous).
hakuna mtu anayemnyima zitto fursa chadema.anajinyima yeye mwenyewe.Yeye ni naibu katibu mkuu,jiulize kwa nini haonekani ofisini?Jiulize ni kwanini hashirikiani na wenzake kwenye M4C? Kazi yake kubwa ni kuhujumu chadema.Hakuna kijana mwenye akili timamau ambaye hakerwi na hali hii.Kazi yake kubwa ni kukichafua chama yeye na kundi lake halafu anategemea kugombea urais kupitia chadema kweli?
Vijana chadema tutamsimama kumzuia kiongozi au mwanachama yeyote atakayefifisha harakati zetu nyuma kwa staili hii anayotumia zitto na wenzake.Kamwe hatuwezi kuwa sehemu ya usaliti huu kwa kumruhusu kutuvuruga.Never !
Halafu eti anajiita mkombozi, shame on him mkombozi huku anadhurumu fedha za watanzania kwa kujilipa mshahara mnono na kujikopesha mamilioni? ....Hana hata haya huyu babu mpenda wake za watu! ...slaa ni msukule wa mbowe mzee hajitambui mbowe amefanikiwa kumzima slaa mdomo kwa kumlipa mshahara wa mil 7 kila mwezi.
hahahahahahah...."HATA WEWE PIA UMETOROSHA PESA KWENDA USWIS KIASI CHA $3.5mln." Je nikweli(unalizungumziaje)? Je huoni kwamba nawewe "UNAFUKARISHA"
Hili jambo ni zuri sana..sema umekosea mtu wa kumuuliza..Swali linamfaa sana Mbowe na Lema waliolamba hela ya M4C iliyofanyika jijini Dar es Salaam..Kwenye kikao cha kamati kuu walipohojiwa hawana jibu wanamba samahani tu.
Hili swala Linamhusu sana Dr.slaa na Josephine waliokopa pesa za chama,kujengea nyumba Bunju.Ona sasa chama kimefirisika kabisa,Ruzuku nchi nzima imesitishwa kwa muda wa miezi 6.
hakuna mtu anayemnyima zitto fursa chadema.anajinyima yeye mwenyewe.Yeye ni naibu katibu mkuu,jiulize kwa nini haonekani ofisini?Jiulize ni kwanini hashirikiani na wenzake kwenye M4C? Kazi yake kubwa ni kuhujumu chadema.Hakuna kijana mwenye akili timamau ambaye hakerwi na hali hii.Kazi yake kubwa ni kukichafua chama yeye na kundi lake halafu anategemea kugombea urais kupitia chadema kweli?
Vijana chadema tutamsimama kumzuia kiongozi au mwanachama yeyote atakayefifisha harakati zetu nyuma kwa staili hii anayotumia zitto na wenzake.Kamwe hatuwezi kuwa sehemu ya usaliti huu kwa kumruhusu kutuvuruga.Never !
Zaha unanipa rahaMbona 2009 alipotaka kugombea uenyekiti wa chama taifa mzee MTEI mkwe wa mbowe alimzuia na kusema kwamba hawezi mpa mtu chama asiemjua yaani asie mchaga.
maana ya m4c ni movement for chaga ndio maana Lema kaweka m4c kama mradi wake wa kujiendeshea maisha baada ya kutoswa ubunge.
Ukweli ndo huo!!!nadhani hujapata lunch,mbona unatumia akili nyepesi sana
Tusikubali kuondolewa kwenye mada kuu kwa habri za kufikirika na kutungwa. Siwezi kujibu tuhuma za kufikirika pia mbazo haziwezi kufikia hata thamani ndogo ya kusadikika.
Sio tu huko ughaibuni, hata hapa nchini akiba zangu zipo benkii za makabwela NMB na CRDB. Akiba zangu zipo wazi kwenye fomu za maadili ya umma. Sina biashara yeyote ya kunifanya kuwa na mabilioni au hata mamilioni.
Wala sitegemei kuwa mfanya biashara maana mimi naamini kabisa kwenye utumishi wa umma na kwamba ukishakuwa mtumishi wa umma na ukafanya biashara lazima kutakuwa na mgongano wa maslahi.
Nadhani tujadili mada iliyopo na tusihame mada kwa kuingiza masuala ambayo hayapo tena ya kutungwa tu. Najua wengi humu hamumjui Zitto. Mnaye Zitto wenu kichwani ambaye mnadhani ndio Zitto halisi. Iko siku mtamjua Zitto halisi ambaye hatokani na propaganda za kizushi na zenye mikakati maalumu.
Turudi kwenye mada. Tujadiliane namna ya kupambana na ufisadi ili kukuza maendeleo ya vijijini na hatimaye maendeleo ya nchi. Tofauti ya kipato kati ya wenye nacho na wasionacho inazidi kutanuka kutokana na mfumo wa uchumi unaozalisha 'rent seekers' badala ya wazalishaji. Tunatokaje huko? Way forward ni ipi? Mjadala uendelee.
Mbowe nae anakundi lake la akina Lema,Kilewo,Deo mushi,deo munishi,Gidion,john mrema na wachaga wengine kazi yao ni kumchafua zitto.
Mbona 2009 alipotaka kugombea uenyekiti wa chama taifa mzee MTEI mkwe wa mbowe alimzuia na kusema kwamba hawezi mpa mtu chama asiemjua yaani asie mchaga.
maana ya m4c ni movement for chaga ndio maana Lema kaweka m4c kama mradi wake wa kujiendeshea maisha baada ya kutoswa ubunge.
vilaza JobMh. Zitto, kwanza pole sana na majukumu. Pia asante sana kwa kutukumbuka wana jukwaa (nilidhani umekimbia missile)!!
Mh. Zitto, ninayo mengi ningehitaji kuyafahamu kutoka kwako maadamu umekuja lakini naomba nianze na hili ili twende sawa:-
Mh, umezungumza vizuri sana na kwa uyakinifu, ila naomba kabla hujaendelea utufafanulie juu ya tuhuma zinazo kukabili kuhusu "HATA WEWE PIA UMETOROSHA PESA KWENDA USWIS KIASI CHA $3.5mln." Je nikweli(unalizungumziaje)? Je huoni kwamba nawewe "UNAFUKARISHA" watz(kama ni kweli)!?
Molemo ndio Jack zombaWapi molemo(ant zitto)sijamuona kabisa leo kutoka povu kama kawaida yake.zitto for presidential position 2015.hatufanyi makosa kama yale tuliyofanya 2010 kwa kumchagua babuuuuu silaaaaaaaaliiii
Za mbayuwayu changanya na zako....kama ujui kusoma hata picha uoni?hivi Mbona Zitto yupo kimya hakemia hawa watu wanaotukana na kudhalilisha chama na viongozi wake wa juu hapa? Nilitegemea Yy kama Katibu msaidizi atoe kauli hapa. Ama anataka tuamini na yy anahusika kwa haya matusi na kejeli kwa viongozi wa chama chake? Zitto upo kweli? ua letting me down Brother. Pls Say something on that.
Kupitia CCM?Tusipotaka si awi?Mmejuaje katiba itapunguza miaka?Au ndivyo CCM walivyowadanganya?Kwani katiba ya CDM nayo itabadilika?