mafirstlady wakisakata kabumbu.

mafirstlady wakisakata kabumbu.

mama yetu salma ndani umevaa Tshirt,kulikuwa na haja ya kuvaa jacket na joto hilo la bongo? siku nyengine be real
 
naamini hapo aliwhoop, ingekuwa ni moving picha tungeona kaukosa mpira na kudondoka juu
 
wetu ana bonge la kitambi...misoseji ya ikulu hiyo
 
Tofauti nyingine mwenye YEBOYEBO kilimo kwanza... na wa juu.. viwanda kwanza
 
nikiwa kama mpenzi wa soka ambaye sijakaa kisiasa zaidi... SALMA hiyo penalt anavoichukuwa ndivyo haswa inavyotakiwa , mama obama kama ni penalt basi kachemka, kama alikuwa anatoa pasi basi sawa.. tena pasi fupi..
 
nilipo:flypig:kutana na YESU historia ya maisha yangu yote ilibadilika.:flypig:
Sorry kwa ofutopiki lakn CheusiMangala umeokoka siku hizi?Hebu tupe ushuhuda.
 
slide_5283_72495_large.jpg



bi%252Bsalma%252Bkikwete%252B1.jpg


SALMA VS MICHELLE.


Inaonekana hapo alianguka kabla hata ya kupiga mpira! Kitambi oyeeeeeeeeee!
 
huyu wa kwetu hata havutii, cheki mm obama anaonekana ni mchezaji mahiri type ya akina mesi lakini uyu wa mkwere ni kubutua-butua kama salum kabunda!!

Aaah mtani huko unakosea..
 
nikiwa kama mpenzi wa soka ambaye sijakaa kisiasa zaidi... SALMA hiyo penalt anavoichukuwa ndivyo haswa inavyotakiwa , mama obama kama ni penalt basi kachemka, kama alikuwa anatoa pasi basi sawa.. tena pasi fupi..

Kaka viper unakosea bana, ile siyo pasi fupi...actuale ni kwamba "anamwekea" a.k.a anampa pande mshikaji, yan ana-press ile haste haste...tap...tap...tap c unajua zile wan tach, no majasho sana halafu ni team work, kifisadi-less. sasa huyu mwingine hakuna hata team mate pembeni yake manake hapo ni zile za; mama saly anakwenda na mpira, anakwendaaaa anakwenda, anao, anao, anao, anazunguka, bado anao, anakwendaaa - kifisadi-fully...na hiyo ni kusi-gnify ubinasfi wake na wa kizazi chake!!
 
maoni yenu wana jf rahaa dah ila kweli haya matumbo yameshibaa!
 
Kwani ni wa wapi hawa?
Ila naona NYEUSI NI REAL PLAYER ,lakini huyu mwingine sijui njano ni kama MAIGIZO YA FULANI HIVI
 
nilipo:flypig:kutana na YESU historia ya maisha yangu yote ilibadilika.:flypig:
Sorry kwa ofutopiki lakn CheusiMangala umeokoka siku hizi?Hebu tupe ushuhuda.
habari za siku tele.
okay nitatoa ushuhuda ucjali nimeanza na huo ushuhuda kuwa historia ya maisha yangu imebadilika,then vuta tu subira nitashuhudia hapa hapa live bila kuficha kitu ni jinsi gani hiyo historia ya maisha yangu ilivyobadilika baada ya mim kumpokea Yesu.kuwa na subira nitashuhudia!
 
Mwenye njano mdebwedo (kalegea) kama mumewe mkwere...
 
Alafu sikumcheki freshi, anakitambi!!! nahis anapiga mitungi ya kienyeji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom