mafirstlady wakisakata kabumbu.

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
slide_5283_72495_large.jpg



bi%252Bsalma%252Bkikwete%252B1.jpg


SALMA VS MICHELLE.
 
huyo mwenye nyeusi anaonekana ana stamina....ila huyo mwenye yebo yebo.....mmmmh
 
mhhhhhhhhhhhh, first lady mwenye njano kavaa t-shirt inayoahamasisha tatu - bomba condoms za salama, loh
 
huyu wa kwetu hata havutii, cheki mm obama anaonekana ni mchezaji mahiri type ya akina mesi lakini uyu wa mkwere ni kubutua-butua kama salum kabunda!!
 
wote sawa tu sema mazingira...ila mmoja anaonekana kuwa na stamina zaidi.....Du viwanja vya bongo vumbi mtindo mmoja
 
Na kudondoka kama kuna mtu alimuwahi mapema atakuwa alikutana hali ya hewa imeshaharibika..hawa wakiambiwa kuna kufungua michezo wanakula sana..machakula ili wasisikie njaa..kumbe sasa unaweza jisaidia ukipigwa mtama kuangia mgongo...
 
mmmmh, sina hakika hawa ni ma'firstlady wa nchi ipi na ipi ila niseme hivi

Mwenye nyeusi anaonekana ni mwanamichezo wa kweli, anacheza kiukweli ndio maana analo hata tabasamu usoni.....

Mwenye njano huyo anaonekana anaigiza kwa sababu tu aliambiwa tu afungue mchezo, hana pumzi wala stamina, atadondoka anytime.....
 
ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa.........mama Obama huyu!!!
 

Attachments

  • 106956368.jpg
    106956368.jpg
    35.4 KB · Views: 72
  • 102360844.jpg
    102360844.jpg
    25 KB · Views: 65
mhhhhhhhhhhhh, first lady mwenye njano kavaa t-shirt inayoahamasisha tatu - bomba condoms za salama, loh

Kaka Unachunguza!!! na hicho kitambi hujakiona. Anyway heshima ya mtu mwenye maisha mazuri lazima awe na kitambi, Ndio mtazamo wa waliofilisika kiafya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom