Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

KWANZA NIKUOMBE USIPATE UVIVU KUISOMA KUNA KITU UTAKIONA KWENYE NDOTO HII CHA AJABU.

Hii ndoto nimeota leo nimeitafakari nikaona niilete kwenu,

nimeota kwamba Mh.rais magufuli ataiacha nchi hii na katiba nzuri tena iliyo kuwa inahitajika na watanzania wazalendo na kuitupilia mbali tena sana ile ya CHENGE NA MAFISADI WENZIE na WABUNGE WA CCM

Ata iacha katiba itakayo weka mipaka kwa mihimili yote ili ijitegemee bila kuingiliwa kwa namna yeyote ile na muhimili mwingine

Ataiacha katiba itakayo punguza madaraka ya rais hasa mamlaka ya uteuzi hivyo kuna teuzi hazita muhusu yeye moja kwa moja ingawa kwenye ndoto sikuota ni teuzi za nafazi zipi

Ataia cha katiba itakayo ruhusu rais kustakiwa kwa makosa aliyo yafanya akiwa madarakani ila hapa niliota kuwa kipengere hiki hakita wahusu marais walio kwisha maliza muda wao akiwemo na yeye kipengere hiki hakito muhusu bali watakao fuata baada yake

Ataiacha Katiba itakayo weka mipaka mikubwa ya uteuzi wa wakuu wa wilaya na mikoa pamoja pamoja na teuzi za nafasi zingine za kitaalamu na ambazo uteuz wake utaziuhusu taasisi husika kwa mujibu wa taratibu zitakazo wekwa ikiwa ni pamoja na mipaka yao ya kiutendaji

Ataicha katiba itakayo tenganisha shughuli za utumishi wa umma na shughuli za siasa na wana siasa pia itakayo tenganisha shughuli za chama na shughuli serikali na pia kuwepo katazo kali kabisa sare za chama kuvaliwa kwenye shughuli za serikali ( ingawa kwa hili nakumbuka hata kwenye ndoto nlicheka sana)

Ataicha katiba itakayo kuwa na marufuku kubwa mwana siasa kufanya maamuzi yanayo hitaji utaalamu na wataalamu kwa taaluma husika hakuta kuwa tena na tabia ya mkuu wa mkoa kusimamisha mtumishi bila uchunguzi wa kitaalamu nakiufundi. a.k.a mihemuko

Ataicha katiba otakayo kuwa na marufuku kubwa hasa matumizi ya vyombo vya ulinzi na usalama kushuhulika na maswala siasa badala ya ulinzi na usalama kama inavyo takiwa

Ataicha katiba itakayo mfanya mbunge atimize wajibu wake wa kibunge tofauti na ilivyo sasa wabunge wanaenda bungeni kwa mzoea.

Ila pia eti nimeota kuwa viti maalumu vitafutwa maana havina tija kwa taifa zaid ya kuliongezea bunge na taifa kwa ujumla matumizi yasiyo na tija. ( ingawa kwa hili nliota limeleta mgogoro mkubwa sana kwa wabunge sasa sijui kweli)

Ataicha katiba itakayo kuwa na marufuku kubwa kabisa mbunge kujiuzuru ubunge kwa hiyari yake mwenye kisha kutaka kugombea tena nafasi hiyo hiyo

HIYO NDIO NDOTO YANGU NILIO OTA USIKU WA KUAMKIA LEO SASA SIJAJUA KWA NINI NIOTE HIVI WAKATI SIJAWAHI FIKIRIA HILI

*************TAFSIRI YAKO TAFADHALI*********
 
hiyo ndoto nimeota leo nimeitafakari nikaona niilete kwenu,

Huyo mtu unayemzungumzia ni yupi, huyu shetani tumjuaye?
 
Mwenyewe amesema katiba mpya sio kipaumbele chake hivyo inawezekana ndoto yako sio sahihi japo umeota uhalisia.Nchi na wananchi vinanyooshwa kwanza

HAPA KAZITU,UJENZI WA VIWANDA NA KATIBA MPYA BADO
 
Back
Top Bottom