Sawa, lakini hoja zake vipi? Jadili hoja, sio mtoa hojaMtu alikuwa kwenye miziki ,leo anafanya uganga huo sio Muislamu ..Huyo juma wa namusoma ni mshirikina kutoka kigoma ,anaimba mziki ..Kishki ana mapungufu ila sio hayo ..Mambo madogo ila unayakuza .
Huyo ni mshirikina ,kama yule mwenzie mzunguSawa, lakini hoja zake vipi? Jadili hoja, sio mtoa hoja
It takes more than that to be a real man.. Huyu jamaa ana viasili fulani vibaya visivyomfaa mwanaume kamili
View: https://www.facebook.com/share/v/1J95j7oedf/