Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

255 (two five five, ipo karibu na chuo cha RUCU), Holiday (uende ukiwa umeshavaa Ndom), VIP (ipo pembeni ya 255), Shooters (kama unapenda kuona wazungu), Dragon, 3 in 1 (three in one) n.k wengine watajazia
Hapo kwa wazungu nadhani patanifaa zaidi, naweza bahatisha pisi kali ya kigeni :D:D
 
Wakuu mambo vipi?

Kutokana na joto kuzidi huku niliko, imenibidi nipange safari ya kuelekea mikoa ya kusini angalau niweze kushangaa shangaa na kuota baridi; nitaanza na mkoa wa Iringa na baadaye Ruvuma.

Sasa nataka nijue kwa wale waliotembelea maeneo hayo, hasa Iringa, ni sehemu gani nzuri unaweza kupata 'vibe' ya kutosha pamoja na kuondoa 'stress' za hapa na pale?

Nikipata pisi kali ya kuniongoza itakuwa vizuri pia.
Kwa vijana wapumbavu kma wewe bora bandarini ichukuliwe
 
Back
Top Bottom