DodomaTZ
Senior Member
- May 20, 2022
- 161
- 200
Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo.
Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote unajikuta unakaa saa zima foleni.
Yaani hakuna utaratibu mzuri wa kuongoza yake magari pale Soko la Sabasaba, changamoto hiyo imekuwa hasa upande wa magari yanayoenda Nzuguni, NaneNane na Ihumwa.