Maeneo ya kupumzika na ku refresh Dar es salaam

Maeneo ya kupumzika na ku refresh Dar es salaam

Aisee mbona unamtajia beach na restaurant outdated hivo....atakuta mabuibui wallahi...hakuna wajanja wanaoenda huko...

Beach: Ramada, Ledger Plaza (Bahari Beach),Mbudya kisiwani,Landmark,Jangwani Sea Breeze(watoto wengi), Kunduchi Beach, Coco Beach, Kijiji Beach

Restaurants: Eaters point Namanga,Terrace Lounge Msasani Mall na Mayfair, KFC na Marry Brown ziko kibao jijini, Open Kitchen Sinza, Akemi, Ciello kule karibu na Sea Cliff, karambezi...

Kuna Ndoto PolePole Farm iko Bunju kama unaelekea Bagamoyo, kuna good food na mazingira mazuuri.....na swimming pool...
bunju sehemu gani hio ndoto polepole farm
Mi mwenyewe nimemshangaa!
 
Usinitishe....usinilazimishie maana ya neno nililoandika mwenyewe....nimemwambia atakuta mabuibui cz sehemu alizotaja ni za zamani na watu hawaendi tena....acha kutoa frustration zako kwangu wewe....mxiuuuuuuuuuu...
Hongera Zurie, watu wengi wasio makini wangeweza kuchanganya hayo maneno mawili kutokana na mada yenyewe.
 
Ukishakuwa na hela ..sehemu za bata zitakuja automatically! Kama ni bia utainywea 777 kama ni lunch na uko mjini utaenda sehemu stahiki. Again it is all about cash. Mengine mbwembwe tuu.
 
Aisee mbona unamtajia beach na restaurant outdated hivo....atakuta mabuibui wallahi...hakuna wajanja wanaoenda huko...

Beach: Ramada, Ledger Plaza (Bahari Beach),Mbudya kisiwani,Landmark,Jangwani Sea Breeze(watoto wengi), Kunduchi Beach, Coco Beach, Kijiji Beach

Restaurants: Eaters point Namanga,Terrace Lounge Msasani Mall na Mayfair, KFC na Marry Brown ziko kibao jijini, Open Kitchen Sinza, Akemi, Ciello kule karibu na Sea Cliff, karambezi...

Kuna Ndoto PolePole Farm iko Bunju kama unaelekea Bagamoyo, kuna good food na mazingira mazuuri.....na swimming pool...
Hilo chimbo liko bunju sehem gan madamu.....
 
Uko sawa mkuu except kwenye KFC hapo.zile ni fast food joints.hakuna u luxury wowote kwenye migahawa ya junk food.ughaibuni tulikuwa tuna kula KFC ukiwa uko busy au huna sehemu ya kwenda chakula cha kawaida.lakini bongo watu wanafunga safari kutoka gongo la mboto kufuata kfc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom