mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,169
- 8,941
Kwanza kabla ya yote ili tusisumbuane hapa je hela ya kutumbua anayo kwa maana sehemu hizo baadhi huuza bia ya kibongo kuanzia buku 5 na kuendelea,halahala asije akakosa nauli ya kurudia alikotoka ,mjini hakutembezwi bakuli ohooFukwe ni Coco beach, Mikadi, dege beach, kurasini beach, kunduchi beach, mbezi beach, kawe beach, n.k
Clubs ni Maisha basement millenium tower, Club Bills zamani club billicanas posta, escape one mikocheni, JB bellmont posta, samaki samaki ipo masaki, isumba lounge zamani jory pub kijitonyama, sleep way club, holiday in club n.k
Restaurant ni samaki samaki mlimani city, best bite namanga, holiday in, steers zipo posta na upanga, ubungo plaza restaurant n.k
Watakuja wengine kuendeleza