Maeneo ya kupumzika na ku refresh Dar es salaam

Maeneo ya kupumzika na ku refresh Dar es salaam

Brazilian bar pale tegeta,...ila tegeta kumekaa vizur sana kwa bata hasa kuanzia apa Kibo kurudi uku tegeta mwisho..
 
Ile beach karibu na magogoni au karibu na ikulu

Nenda pale hakika hutojuta

Acha ushamba ile nayo ni beach? Ile ilojaa kinyesi toka hospitali ya Aghakhani?..pale akafanye nini sasa au kushangaa wauza madafu?
 
ewaaaa hapo mahala pake, jioni wakienda kule oysterbay wakapiga mihogo na mishikaki wakashushia na juice ya mua, usiku wanarudi coco wanapiga story na kushikana shikana mpk asubuhi wakitaka, lol.
Inaelekea unaendaga sana[emoji125]
 
ivi bar ni sehemu nzuri yakupumzika na mpenzi wako??
 
Daraja La Nyerere Kigamboni. Mtazurura juu ya maji mkipunga upepo taratibu.
 
Jangwani Sea breeze.. Utaenjoy vya kutosha... Autojutia ela yako. Kama Upo vizuri maliza Ramada kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom