Maeneo ya kupumzika na ku refresh Dar es salaam

Maeneo ya kupumzika na ku refresh Dar es salaam

Siku hizi utajikuta peke yako... usawa umekata..... pia kumbuka Dar watu wanatizamwa sana so uzembe uzembe wa kupumzika ushaisha baada ya uchaguzi...
 
Mediterraneo - mandhari murua na ya utulivu, ukimya na kupumzisha akili ukila na kunywa. mawimbi kwa mbali unayasikilizia.

White sands hotel - ukitaka kuogelea, sipendelei kuenda weekend au siku za sikukuu japo hapajai kama sehemu zingine za karibu. Na wanajitahidi kwa huduma zao pia kudumisha kiwango cha hiyo hoteli.

Sidhani kama club utapumzisha akili..au unataka ukadansi?
majibu yametulia kama sehemu unazopumzikaga....thumb up
 
Ouagadougou offshore na antananarivo big pub viwanja hivi ni murua sana kwa afya ya akili
 
Aisee mbona unamtajia beach na restaurant outdated hivo....atakuta mabuibui wallahi...hakuna wajanja wanaoenda huko
Beach: Ramada, Ledger Plaza (Bahari Beach),Mbudya kisiwani,Landmark,Jangwani Sea Breeze(watoto wengi), Kunduchi Beach, Coco Beach, Kijiji Beach

Restaurants: Eaters point Namanga,Terrace Lounge Msasani Mall na Mayfair,KFC na Marry Brown ziko kibao jijini, Open Kitchen Sinza,Akemi, Ciello kule karibu na Sea Cliff, karambezi...

Kuna Ndoto PolePole Farm iko Bunju kama unaelekea Bagamoyo,kuna good food na mazingira mazuuri.....na swimming pool....
Kumbe kutembea na vichupi beach ni ujanja! Kila mtu ana maamuzi yake acha kukariri maisha,unajuaje kama huyo unaemuelekeza hizo beach za watembea uchi kama ndio hobby yake kuona watu wakitembea uchi?
 
Kumbe kutembea na vichupi beach ni ujanja! Kila mtu ana maamuzi yake acha kukariri maisha,unajuaje kama huyo unaemuelekeza hizo beach za watembea uchi kama ndio hobby yake kuona watu wakitembea uchi?
Hivi unajua tofauti ya Buibui(mdudu)na Baibui(nguo) kweli wewe?....mambo ya uchi yamekujaje hapa?.....siku nyingine soma kitu uelewe kabla hujajibu uozo....Alaaaaaa...
 
Hivi unajua tofauti ya Buibui(mdudu)na Baibui(nguo) kweli wewe?....mambo ya uchi yamekujaje hapa?.....siku nyingine soma kitu uelewe kabla hujajibu uozo....Alaaaaaa...
Acha kujifanya kua wewe ni bingwa wa kubadilishia gia angani! mabuibui yanahusiana nini na ujanja? halafu tumia lugha ya heshima usije ukajikuta unaanzisha vita ambayo hutoimudu,
 
Acha kujifanya kua wewe ni bingwa wa kubadilishia gia angani! mabuibui yanahusiana nini na ujanja? halafu tumia lugha ya heshima usije ukajikuta unaanzisha vita ambayo hutoimudu,
Usinitishe....usinilazimishie maana ya neno nililoandika mwenyewe....nimemwambia atakuta mabuibui cz sehemu alizotaja ni za zamani na watu hawaendi tena....acha kutoa frustration zako kwangu wewe....mxiuuuuuuuuuu...
 
Aisee mbona unamtajia beach na restaurant outdated hivo....atakuta mabuibui wallahi...hakuna wajanja wanaoenda huko...
Beach: Ramada, Ledger Plaza (Bahari Beach),Mbudya kisiwani,Landmark,Jangwani Sea Breeze(watoto wengi), Kunduchi Beach, Coco Beach, Kijiji Beach

Restaurants: Eaters point Namanga,Terrace Lounge Msasani Mall na Mayfair,KFC na Marry Brown ziko kibao jijini, Open Kitchen Sinza,Akemi, Ciello kule karibu na Sea Cliff, karambezi...

Kuna Ndoto PolePole Farm iko Bunju kama unaelekea Bagamoyo,kuna good food na mazingira mazuuri.....na swimming pool....
Uko sawa mkuu except kwenye KFC hapo.zile ni fast food joints.hakuna u luxury wowote kwenye migahawa ya junk food.ughaibuni tuna/wanakula KFC kam uko bize au hakuna sehemu ya chakula proper iliyo karibu nawe.lakini bongo watu wanafunga safari kutoka gongo la mboto kufuata kfc
 
Uko sawa mkuu except kwenye KFC hapo.zile ni fast food joints.hakuna u luxury wowote kwenye migahawa ya junk food.ughaibuni tulikuwa tuna kula KFC ukiwa uko busy au huna sehemu ya kwenda chakula cha kawaida.lakini bongo watu wanafunga safari kutoka gongo la mboto kufuata kfc
KFC bongo unarelax kabisa taratibuu na kipaja chako cha kuku....hizo za ughaibuni sizijui....Bongo Tambararez jamani (in Lemutuz voice)
 
Kumbe kutembea na vichupi beach ni ujanja! Kila mtu ana maamuzi yake acha kukariri maisha,unajuaje kama huyo unaemuelekeza hizo beach za watembea uchi kama ndio hobby yake kuona watu wakitembea uchi?

Kapewa option kibao, achague yeye kama ni vichupi ataamua.
 
KFC bongo unarelax kabisa taratibuu na kipaja chako cha kuku....hizo za ughaibuni sizijui....Bongo Tambararez jamani (in Lemutuz voice)
Sawa dada kila mtu ana mtazamo tafauti hapa duniani.so unaweza ukawa sawa kutokana na ufahamu wako.lakini mikahawa ya fast food sio sehemu ya kula bata.tangia lini sehemu ya starehe ikawa na drive thruogh na viombo vya kulia vya plastic.luxury gan hakuna hata weita unajihudumia mwenyewe
 
Back
Top Bottom