Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,864
Sehemu kama hiyo sio ya kwenda kukaa jinsia ke peke enu maana.mchana[emoji23]
usiku malaya wote wa ubungo wanajaa pale
Sehemu kama hiyo sio ya kwenda kukaa jinsia ke peke enu maana.mchana[emoji23]
usiku malaya wote wa ubungo wanajaa pale
haaaa,umenichekesha san,ila hata kwa googlemap unaweza kupajua pia
Kwanza kabla ya yote ili tusisumbuane hapa je hela ya kutumbua anayo kwa maana sehemu hizo baadhi huuza bia ya kibongo kuanzia buku 5 na kuendelea,halahala asije akakosa nauli ya kurudia alikotoka ,mjini hakutembezwi bakuli ohoo
Hahahaah acha kumtisha mwenzako pengine yupo likizo, mwache aende mbudya kidogo akapumzike ama southern beachSiku hizi utajikuta peke yako... usawa umekata..... pia kumbuka Dar watu wanatizamwa sana so uzembe uzembe wa kupumzika ushaisha baada ya uchaguzi...
dadekiMada za matumiz ya hela zinatoa raia povu mno [emoji104]
Mediterraneo - mandhari murua na ya utulivu, ukimya na kupumzisha akili ukila na kunywa. mawimbi kwa mbali unayasikilizia.
White sands hotel - ukitaka kuogelea, sipendelei kuenda weekend au siku za sikukuu japo hapajai kama sehemu zingine za karibu. Na wanajitahidi kwa huduma zao pia kudumisha kiwango cha hiyo hoteli.
Sidhani kama club utapumzisha akili..au unataka ukadansi?
Hivi unajua tofauti ya Buibui(mdudu)na Baibui(nguo) kweli wewe?....mambo ya uchi yamekujaje hapa?.....siku nyingine soma kitu uelewe kabla hujajibu uozo....Alaaaaaa...
Mmmmh!....interesting.Club mbona u apumzisha akili yaani kuona warembo tuu wanatingjsha tingisha misambwanda tayari mind inakuwa refreshed
Eeh...yaani mie nikiona wowowo ndani ya leggings tayari napata bonge la relaxation...ukiongezea na kubambia wowowo na mirindimo ya muziki ah safi kabisa...ukitoka hapo unaenda kumalizia na kugegeda maana dancing pacha wake kukugegedana.Mmmmh!....interesting.
Safi Mkuu
Habari za majukumu wakuu wa JF.
Kama mnavyofahamu binaadamu yake ni mikikimikiki chini ya jua ili kuhakikisha anakidhi haja zake za kimaisha kufikia maisha bora. Hakuna anayeweza kulala kwa amani kama hana chochote cha kumletea faraja.
Ila pamoja na hayo kuna wakati anahitaji kupumzisha mwili na kuustarehesha ubongo ili kujipanga upya kila anapohisi amezidiwa na majukumu au jambo lolote linalomletea msongo katika maisha yake.
Sasa basi kukidhi mahitaji hayo anahitaji maeneo mbalimbali kwa ajili ya kujistarehesha, yaliyotulia au ya fujo kutegemea na mahitaji ya mwili wake. Baadhi ya maeneo machache ni:
Fukwe mbalimbali
Clubs
Migahawa etc.
Naomba kwa wajuzi zaidi waorodhesha maeneo mbali mbali ya kupumzuka kwa ajili ya kuufurahisha mwili. Nawasilisha.
Kwa kweli fundi aendelee kukaa na milango na madirisha...akishindwa kunivumilia auze tu.Nyumba endelea kubakia kwenye renta tu! [emoji39][emoji39][emoji39]
Kwa kweli fundi aendelee kukaa na milango na madirisha...akishindwa kunivumilia auze tu.
Hhhahaha....! Maisha ndo hay hayaNyumba endelea kubakia kwenye renta tu! [emoji39][emoji39][emoji39]
Hhhahaha....! Maisha ndo hay haya