private agent
Member
- Apr 6, 2016
- 83
- 103
Habari za majukumu wakuu wa JF.
Kama mnavyofahamu binaadamu yake ni mikikimikiki chini ya jua ili kuhakikisha anakidhi haja zake za kimaisha kufikia maisha bora. Hakuna anayeweza kulala kwa amani kama hana chochote cha kumletea faraja.
Ila pamoja na hayo kuna wakati anahitaji kupumzisha mwili na kuustarehesha ubongo ili kujipanga upya kila anapohisi amezidiwa na majukumu au jambo lolote linalomletea msongo katika maisha yake.
Sasa basi kukidhi mahitaji hayo anahitaji maeneo mbalimbali kwa ajili ya kujistarehesha, yaliyotulia au ya fujo kutegemea na mahitaji ya mwili wake. Baadhi ya maeneo machache ni:
Fukwe mbalimbali
Clubs
Migahawa etc.
Naomba kwa wajuzi zaidi waorodhesha maeneo mbali mbali ya kupumzuka kwa ajili ya kuufurahisha mwili. Nawasilisha.