Sasa kama jamaa anaongea ukweli kwa nini tusilike jamaniHaha,
Baada ya kusoma hii comment nikajiambia nisipoona like ya mzabzab hapa najinyonga..!!
Upo kipenzi changu JoanahUzi umekuwa mfupi sana
Ungeelezea kwa ufupi sababu za/ya kushindwa kutongoza maeneo hayo ili sisi tunaofika maeneo hayo tujue tunafanyaje
Hii nchi bado kuna watu wanatongoza[emoji23][emoji23].Uzi umekuwa mfupi sana
Ungeelezea kwa ufupi sababu za/ya kushindwa kutongoza maeneo hayo ili sisi tunaofika maeneo hayo tujue tunafanyaje
Ni nchi gani ambayo hawatongozi?Hii nchi bado kuna watu wanatongoza[emoji23][emoji23].