Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

Ndugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
Kwani wao wapinzani wanakusanya kodi kutoka kwa wananchi?
Hebu jaribu kujiongeza kidogo jomba!
 
Chadema tunaweza. Ila sasa wale mashetani watakubali?? Uliza Maeya Jacob alitaka kuleta Mtambo wa kurecycle takataka za manispaa ya kinondoni kama alikubaliwa pamoja na kuwa ma faida nyingi kwa Wananchi.
Inawezekana unayonambia lakini sisi huku mikoani Wananchi tunajenga hivyo vitu kwa kuchangishana lakini hivi vyama avitupi sapoti walau huwa wanatusapoti kwenye misiba
 
Ndugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
Huwezi kumpa mtu kitu ambacho huna. Wapinzani wafanye hivyo kwa resources gani? Watapata wapi hizo resources wakati wao pia mji wao umejaa njaa?
 
Ndugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
Miradi yote hiyo uliyoorodhesha inapaswa kujengwa na kodi ya wananchi na siyo fedha za chama cha siasa!
 
Mhh, I doubt this statement. I have seen ppl doing stuff without asking for permission, especially kind of renovating schools etc.
You may do it as single person but you cannot do it as opposition party. In Tanzania everything done by opposition is illegal and its defined as national threat.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana unayonambia lakini sisi huku mikoani Wananchi tunajenga hivyo vitu kwa kuchangishana lakini hivi vyama avitupi sapoti walau huwa wanatusapoti kwenye misiba
Mnajenga kwa kusimamiwa na serikali ya kijiji ili baadaye muikabidhi serikali. Serikali ya CCM haiwezi kupokea mradi uliojengwa kwa kusimamiwa na chama cha siasa tofauti na CCM!
 
Hizi shule za hivi ziko nyingi hazijapata tu wa kuzipiga picha na kupost humu, hata kile kipind cha mwewe clouds wawe wanachungulia kila angle ya nchi hii wataona mengi.
 
Vibali vipi maana tunajenga Mashule,zahanati nk kwa njia za kujitolea hivyo vya vya upinzani huwa avitoi sapoti yoyote kwetu wanaojitahidi kujitolea siku zote ni sisi Wananchi,wafanyabiashara,wabunge,madiwani nk

Lakini vyama vya upinzani huwa hawafanyi hivi na je lini walitaka kujenga shule,zahanati nk kwa kujitolea au walitoa na Serikali iliwakatalia
CCM kama chama ilijenga lini shule?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
1633256194797.jpeg

Tunanunua kwanza ndege.
 
Back
Top Bottom