Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

Inawezekana unayonambia lakini sisi huku mikoani Wananchi tunajenga hivyo vitu kwa kuchangishana lakini hivi vyama avitupi sapoti walau huwa wanatusapoti kwenye misiba
Chama kama chama uwezo tunao. Na tumeshaonesha mifamo mbali mbali lawama pelekeni kwa watawala.
 
Ndugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
Vipewe na haki ya kukusanya kodi,bila shaka itawezekana
 
Mhh, I doubt this statement. I have seen ppl doing stuff without asking for permission, especially kind of renovating schools etc.
Ukiona HIVYO UJUE NI KAMA ALIVYOKUWA ANAFANYA HAMZA GAIDI LA LUMUMBA. lilijitolea sana kwenye shule nyingi under CCM umbrela
 
Ndugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
Kwanini uwatenge hivyo?Nao pia hutoa kodi katika nchi ambazo hutumika kuleta maendeleo na kuboresha huduma za jamii
 
Hata sasa kwenye hii Awamu ya Ukinizingua nakuzingua kuna mchora katuni anashikiliwa kwa kumchora Bibie.

20211001_185849.jpg
 
Wakati mwingine CCM haina shida. Shida kubwa ipo kwenye Vichwa vya baadhi ya waliopo ndani ya CCM

Kile Chama kuna wakati Nyimbo zake ziliimbwa mpaka Vilabuni Tena kwa mahaba

Miiko na misimamo Yao ilipendwa mno mpaka wakulima na Wavuvi walijua CCM Chama kinajenga Nchi
Unasema ukweli, sisi tunaoifahamu nje ndani ni hao viongozi ambao ni mafisadi!!!!! Ndiyo wanaoifanya CCM kunuka. CCM inahitaji upinzani imara ili ijirekebishe. Kwa bahati mbaya hakuna chama cha upinzani credible vyote tia mchuzi, kila kitu kupinga na mpaka wananchi wanawaona ovyo tu. Imagine sasa hivi wakati Chadema ingalikuwa inajiimarisha, ipo busy na kesi ya ugaidi ambayo ni hewa. Unaona watu wao wanashangilia ati Kibatala sijui nini. Katibu Mkuu wake baadala ya kuendeleza chama yeye ni mahakamani kwa vile boss hayupo. Kimekuwa chama cha one man show!! Wakati wa uchaguzi wanaibuka kwa kukurupuka tu.
 
Hivi wewe machame unafikiri ni ulaya! Kule ni kubovu tu usisikilize wale ndugu zako wanaojisifia hapa kila siku!
Kilimanjaro ni kwetu mkuu,kutakuwa kubovu kwa vitu vingine ila sio madarasa kama hayo aisee..sijisifii ila kiukweli kabisa shule yenye chumba cha darasa kama hili hakipo..huko Machame na Kibosho kuna shule hadi hazina wanafunzi,..sehemu yenye shule zenye madarasa kama haya shule hamna kabisa na umaskini uko juu maana hata wananchi wangechangishana kumalizia hayo madarasa..Uchagani hakuna huu upumbavu.
 
Haya bwana!
 
Back
Top Bottom