Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

Ndugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
Chadema tunaweza. Ila sasa wale mashetani watakubali?? Uliza Maeya Jacob alitaka kuleta Mtambo wa kurecycle takataka za manispaa ya kinondoni kama alikubaliwa pamoja na kuwa ma faida nyingi kwa Wananchi.
 
Ndio maana yule jamaa wa Guinea kachoka sasa anaipanga Nchi upya.
Doumbouya akili nyingi sana yule. Alisema wazi wazi Alpha alikuwa anavumiliwa kwa kipindi cha miaka 20 ya utawala lakino habadilika na umaskini unazidi pamoja na kuvunja haki za raia wa Guinea. Sasa hivi nchi ina furaha na amani Waguinea anachapa kazi sana
 
Ndio maana yule jamaa wa Guinea kachoka sasa anaipanga Nchi upya.
Kwani zile bilioni kadhaa za tozo zilizosambazwa tayari na mkopo wa imf kwaajili ya ujenzi wa shule na barabara bado hazijaanza kufanya kazi?

Hakuna hata kamsingi ka darasa au darasa lililokarabatiwa mkatuonesha picha(kabla na baada ya)?

Naona picha za kuombea uraisi wa 2025 tayari.
 
Doumbouya akili nyingi sana yule. Alisema wazi wazi Alpha alikuwa anavumiliwa kwa kipindi cha miaka 20 ya utawala lakino habadilika na umaskini unazidi pamoja na kuvunja haki za raia wa Guinea. Sasa hivi nchi ina furaha na amani Waguinea anachapa kazi sana
Ehh okkk

Ova
 
Kwani zile bilioni kadhaa za tozo zilizosambazwa tayari na mkopo wa imf kwaajili ya ujenzi wa shule na barabara bado hazijaanza kufanya kazi?

Hakuna hata kamsingi ka darasa au darasa lililokarabatiwa mkatuonesha picha(kabla na baada ya)?

Naona picha za kuombea uraisi wa 2025 tayari.
Zinaingizwa kiduchu zingine wakoloni weusi wanapongezana
 
Magonjwa Mtambuka
goaway.gif
 
Zinaingizwa kiduchu zingine wakoloni weusi wanapongezana
Walisema 1.2t zilizokusanywa wakati wa JPM ni cooked data. Sasa kodi imekua ni hiari, wanasema wanakusanya 1.5t? Vyanzo vya zamani vianishwe, vilivyoongezeka vianishwe, tuujue ukweli.

Wale waliozimia kipindi kile, ambao walikuwa wapigaji, wamefufuka kwa kipindi cha miezi 6 tu. Wanataka kusema hii ni dalili nzuri na ukuaji wa uchumi?

Hakuna kesi iliyo mahakamani kuishitaki serikali kwa uonevu wa wafanyabiashara au waliotumbuliwa na wafananao, ina maana walikubali kuwa hawakuonewa?
 
Kuna shule ilionyeshwa huko kupita mbagala Mzee Magu aliwambia nakuja huko, shule ilijengwa ndani ya wiki moja, jiulize wao hawakuwahi iona mpaka Rais aseme? Sasa wao niwasaidizi wa nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da mwanavala nakufahamu kule kwa mzee sepelua nilienda miaka ya 1997 mzee alikuwa analima mpunga kule na hiyo shule jamii kubwa ni wamasai
 
Back
Top Bottom