Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

Wananchi ndio tatizo,mbunge wa mbarali hizi shida za shule hazisemii kabisa.

Alafu watamchagua tena 2025.tatizo ni wananchi hawajitambui
 
Ndugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
Kwanini usianze kujitolea wewe..?

Maana unaandika tu kama vile kichwa chako kimetengana na kiwiliwili...!
 
Cdm maswali kama haya hapana majibu zaidi ya kutukana
Kama akili zenu ndo hizi, kwanini msitukanwe?

Maana anayekuletea hoja ya kipumbavu kwa kudhani kuwa wewe ni mpumbavu, basi ni lazima kwanza yeye ndiye awe mpumbavu kabla ya kukubaliana wala kujadili ujinga na upumbavu wake...!
 
Sio mara moja au 2 viongozi wa Cdm walikuwa wanapeleka misaada hospitalini, shuleni nk, viongozi wa taasisi hizo wakawa wanagomea misaada hiyo kwa maagizo toka juu. Itakuwa kujenga shule au hospitali? Kwa namna ccm ilivyopoteza ushawishi, hawako tayari kuona chama cha upinzani kinafanya jambo lolote chanya kwa umma, maana wanajua ndio mwanzo wa kupoteza taji.
ugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
 
Sio mara moja au 2 viongozi wa Cdm walikuwa wanapeleka misaada hospitalini, shuleni nk, viongozi wa taasisi hizo wakawa wanagomea misaada hiyo kwa maagizo toka juu. Itakuwa kujenga shule au hospitali? Kwa namna ccm ilivyopoteza ushawishi, hawako tayari kuona chama cha upinzani kinafanya jambo lolote chanya kwa umma, maana wanajua ndio mwanzo wa kupoteza taji.
Kule Vunjo wananchi walichanga fedha zaidi ya bilioni 7 za kujenga barabara yao serikali ikakataa eti kwakuwa ni upinzani wamehamasisha wananchi mpaka Mbatia akaenda ikulu kushtaki

Hawa ndio mataga wanataka wajenge madarasa

Kama wanataka kujengewa madarasa ni kazi rahisi sana watoke ikulu waingie wapinzani hayo madarasa ni kazi ya miezi sita nchi nzima
Wao tangu tupate uhuru wanaongelea kujenga madarasa huku wakitembelea magari ya milioni 400
V8 moja linajenga madarasa mangapi??!

Kenge maji!
 
Back
Top Bottom