Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

Katika nchi ambayo iko Uchumi wa Kati , nchi ambayo hununua mijidege kwa malipo Taslimu , hizi ndizo shule zake zilizotapakaa kote nchini .

View attachment 1961138

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ndio maana ni muhimu kukomaa na TOZO za Mtandaoni ili tutokomeze tatizo la majengo ya shule.

Hii si shule pekee iliyopo kwenye hali mbaya kiasi hiki, ziko maelfu za namna hii.

TOZO + KODI YA NYUMBA (makato kwenye bill ya umeme) ndio jibu.
 
Ndugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
Halafu kodi zinazo kusanywa kila mwezi ziendelee kununulia V8 za kutosha serikalini siyo!!

Jukimu kubwa la vyama vya upinzani ni kunadi sera mbadala kwa wananchi dhidi ya zile sera dhaifu za chama kilichopo madarakani, na siyo kujenga shule na zahanati.
 
Bila kuwa na vibali haviruhusiwi
Vibali vipi maana tunajenga Mashule,zahanati nk kwa njia za kujitolea hivyo vya vya upinzani huwa avitoi sapoti yoyote kwetu wanaojitahidi kujitolea siku zote ni sisi Wananchi,wafanyabiashara,wabunge,madiwani nk

Lakini vyama vya upinzani huwa hawafanyi hivi na je lini walitaka kujenga shule,zahanati nk kwa kujitolea au walitoa na Serikali iliwakatalia
 
Nimekuwa nikisema kwa muda mrefu sana kuwa hao makada hawajui vipaumbele vya Nchi hii

Huwezi kununua Ndege za kuja kupaki wakati Maji ni shida Shule za mapagala hakuna madawati.
Tatizo mnaruka ruka tu na kucheza ngoma mnayopigiwa. Hana mikakati ya kuiondoa ccm
 
Back
Top Bottom