Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara kuhusu kilichotokea Mlima Hanang

Naweza kusema haya sasa ndiyo maelezo sahihi ambayo yana make sense, maana kama umemaliza form 4 naamini umesoma Geography, na hizi mambo za Mass Wasting na Mud Slides ni vitu tulivyosoma kwenye Physical Geography.
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★​

Dr. Derick Magoma, Ph.Dambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara na aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Hanang (2020) akimueleza Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kilichotokea na kusababisha mafuriko tope (mudslides) Wilaya ya Hanang.

NB: Mambo ya Hanang ni vizuri ukaelezwa na watu wa Hanang (maana wanaijua Hanang yao vizuri zaidi) kuliko kupewa simulizi na Jenista Mhagama na Bashungwa waliokuwa Dar es Salaam siku ya tukio. Mwisho, wataunda tume kuchunguza mafuriko tope.

Poleni sana watu wa Hanang, tupo pamoja katika wakati huu mgumu kwa maombi na kwa kutoa nguvu kazi kusaidia kurejesha hali ya Hanang katika utimamu wake wa awali. Tunafahamu, siyo rahisi lakini tujitie nguvu na wote tumshukuru Mungu.


Div 0 ya Form 6 kaelewa kweli? Naona kama kashangaa tu, kwa hiyo hapa PhD holder anamwelekeza Div 0 holder ya Form 6 somo la Geography on mudslides, basi sawa. Pumbaf

Hii nchi tuna tatizo bado sana, watu wamepata maafa, wanataka misaada ya haraka, wengine wanaenda kumwelekeza Div 0 aelewe what happened? Stupid
 
aisee kweli shule nzuri, tusisitize elimu watu wakiwa na maarifa yanasaidia jamii... nlisikiliza maelezo ya jenista kwa kweli hayaeleweki... mara kuna kitu kutoka juu, mara kishindo mpaka nkachanganyikiwa kwamba mheshimiwa ana maanisha kuna bomu lililipuka au.... huyu mtaalamu alitakiwa atoe maelezo haya mbele ya raisi ili pia ashauri ni maeneo gani mengine yana nature ya namna hii na hatua gani zichukuliwe kusaidia taifa... ila uchawa na ubinafs wa ccm unaobagua na kutweza walio tofauti nao kisiasa basi tunakosa msaada kwa utaalam kama huu.

Rais ashauri!!!!!!
 
Ndio maana nilishangaa Sana machawa Jana yanasema Chadema hawakupaswa kuwa na ujumbe Jana Hanang maana Rais yuko kule! Ujinga mkubwa Sana huu, hili ni janga la kitaifa, hata vyama vyote 19 vikienda kwa pamoja Kuna nini kwani? Hapa lengo ni kujenga sio political milage umbwa za CCM nyinyi.

Kwani mtu kama huyu angeeleza haya mbele ya Rais Samia huku Lema na Mbowe wako pembeni ingeharibika nini? Kila kitu mnaleta siasa hadi mnakera.

Mnamlazimisha Jenista atolee maelezo maishu kama haya hata yeye mwenyewe anaongea huku hajui anachokiongea. Hili Taifa ni letu sote hili, mnatukwaza Sana sisi tuio na mrengo wa kisiasa.
Machawa sugu kama akina Lucas mwashambwa wanapita hapa kimya kimya
 
Back
Top Bottom