Madiwani watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa wamejiuzulu

Mh Alex Lugano Mwanyingi ambaye ni diwani wa kuchaguliwa huko Iringa mjini amebwaga manyanga na kutupilia mbali kadi ya Chadema kwa maelezo kuwa amechoshwa na umangimeza,umimi na ubabe usiozingatia misingi ya sheria taratibu na utu vinavyofanywa na viongozi wa chama hicho. Amesema heria umaskini kuliko utumwa. Jana pia mjumbe mmoja wa baraza kuu la chadema alitangaza kukihama chama hicho

Usitutoe kwenye Reli RAIS ameshindwa kuongoza TAIFA
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kubaki chadema kwa sasa.Bavicha hawana uwezo wa kuhoji chochote wao wapo bize na kumpaisha Tundu Lissu.
 
Kwa nini usiseme ukweli kuwa huyo diwani wa Chadema amefika bei na hivyo mkamshikisha donge alilokuwa analihitaji ili abwage manyanga?
Kwani hata chama hicho watu wake nao wanafika bei?

Sasa tukimbilie wapi ikiwa wote ni walewale?

......
 
Ijumaa njema wote.
Nimebahatika leo kuwaona Madiwani wa CDM waliojiuzulu wakiongea na waandishi wa habari.
Cha ajabu ni kuwa kila mmoja anaondoka kwa hiari yake lakini mkutano wanafanya pamoja-Makubwaaaa.
 
Wenzano wanajutia kudanganywa
 
Ijumaa njema wote.
Nimebahatika leo kuwaona Madiwani wa CDM waliojiuzulu wakiongea na waandishi wa habari.
Cha ajabu ni kuwa kila mmoja anaondoka kwa hiari yake lakini mkutano wanafanya pamoja-Makubwaaaa.
mamluki hao
 
Wameongezeka wengine au ni walewale watatu?
 
Hili liwe fundisho kwa Chadema na UKAWA chaguzi zijazo.
Hawa mamluki waliokotwa mtaani baada ya kuona nguzu ya UKAWA 2015. Kuna waliojiunga na UKAWA sio kwa ajili ya kukipenda chama bali kwa ajili ya madaraka. Sasa wakakuta UKAWA hakuna hongo kama wakizo zowea upande ule. Sasa wameshawishika na hongo wanarudi home kwao.
Kuna vijana na wazee wamekomaa na vyama vya upinzani na misimamo yao inajulikana sioni kwanini kupokea mamluki ambao bado tabia zao hazina rekodi ndani ya UKAWA. chaguzi zijazo kuweni makini achaneni na mamluki.
 
Ijumaa njema wote.
Nimebahatika leo kuwaona Madiwani wa CDM waliojiuzulu wakiongea na waandishi wa habari.
Cha ajabu ni kuwa kila mmoja anaondoka kwa hiari yake lakini mkutano wanafanya pamoja-Makubwaaaa.
Ila Taratibu wakati mwingine hutoa nusu kwanza na zingine husema atazimalizia halafun huanza kuzingua.Na hata hiyo nusu ikisha ingia wawe wajanja wakati mwingine hukomba zote,muhongwaji anaangalia kwenye salio ola!
 
Back
Top Bottom