Madiwani watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa wamejiuzulu

Hapa Kazi tu...viongozi wa Chadema kitaifa wamekigeuza Chama kuwa tawi la Majembe Auction mart kwa kufuatilia madeni huku Chama kikipoteza mvuto.
Bora majembe kinadai na kupeleka TRA, wao wanadai cha juu na kutufilisi afu bila aibu wanakwenda mbele ya kamera kutangaza walivyotufanyia. Mungu anawaona!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Alex Lugano Mwanyingi ambaye ni diwani wa kuchaguliwa huko Iringa mjini amebwaga manyanga na kutupilia mbali kadi ya CHADEMA.

kwa maelezo kuwa amechoshwa na umangimeza, umimi na ubabe usiozingatia misingi ya sheria taratibu na utu vinavyofanywa na viongozi wa chama hicho. Amesema sheria umaskini kuliko utumwa.

Jana pia mjumbe mmoja wa baraza kuu la CHADEMA alitangaza kukihama chama hicho.
 
Mh Alex Lugano Mwanyingi ambaye ni diwani wa kuchaguliwa huko Iringa mjini amebwaga manyanga na kutupilia mbali kadi ya Chadema kwa maelezo kuwa amechoshwa na umangimeza,umimi na ubabe usiozingatia misingi ya sheria taratibu na utu vinavyofanywa na viongozi wa chama hicho. Amesema heria umaskini kuliko utumwa. Jana pia mjumbe mmoja wa baraza kuu la chadema alitangaza kukihama chama hicho
Mnasifia vitu hewa!
 
Back
Top Bottom