Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA watinga mahakamani

Mimi humu JF, napita kama sina kazi ukitaka kujua hilo anagalia muda niliojiunga na posts zangu.
Kuna watu humu JF, wana mwezi tu wana posts 2000 mpaka 3000.
Kama saizi mimi nipo Shelisheli nimepumzika
Kwa vile unaonekana humu 24hrs ina maana huna kazi kabisa.
 
Reactions: LAT
ngongo lete familia yako pamoja na mkeo nikulele ndipo utakapo jua nina uwezo si wa kutunza familia yangu hata ya kwako kama wewe kuripoti ukweli lazima uwe umepiga mzinga ni wewe....

hii utakuwa umemsaidia sana, maana kazi aliyotumwa na nape ina maslahi kidogo sana na mkewe analalamika, msaidie kumtunzia mkewe kwakweli.
 
Mimi humu JF, napita kama sina kazi ukitaka kujua hilo anagalia muda niliojiunga na posts zangu.
Kuna watu humu JF, wana mwezi tu wana posts 2000 mpaka 3000.
Kama saizi mimi nipo Shelisheli nimepumzika

mkuu unapenda kupumzika wewe, kama babako! kwani usingeweza kupumzika hapa hapa nchini?
kesho utakuwa wapi kimapumziko?
 
ndiyo tumeingia kwenye chumba ili kesi iweze kuendelea watu ni wengi sana..
 
mpaka sasa washitaki siwaoni sijui wameogopa nyomi ya watu..
 
kesi inaanza malla na wenzake anawakilishwa na wakili..
 
kesi imehahilishwa mpaka ijumaa ijayo ili pingamizi lililowekwa na wakili wa chadema lisikilizwe..
 
mwanasheria wa chadema anasema kwenye swala hili ni kama mtu anaetaka upandri huku ameoa, anasema kama hawa watu kama wanaendelea kulipwa tutakuja kuzidai..mbowe anawashukru makamanda waliojitokeza anasema haki haiwezi kuzuiliwa bali inaweza kucheleweshwa..
 
MAGAMBA wanatisha! they are working hard but CDM work smart, nani atashinda?
Shua mkuu wanatumia nguvu nyingi mno kwa kitu kidogo badala ya kutumia akili. Pesa, Dola, Mahakama, Bunge lakini wanazidi ku loose kwa nini hawajiulizi?
 
Elimu yangu na kazi yangu inanitosha siishi kwa kutegemea chama kama wewe.
 
Labda ungetutafsiria kwa Kiswahili ulichotaka kumaanisha hapa!
<br />
<br />
huyo mkinga wa
wapi huyu wakinga wenzie wanatweta makete kwa utawala wa magamba harafu leo eti magamba ndo baba na mama! shame on you MAGAMBA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…