Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA watinga mahakamani

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
waliokuwa madiwani kupitia chadema wilaya Arusha mjini na chadema watatinga mahakamani ni kwenye sakata la wasaliti hao kutaka kurudishiwa uanachama wao na kuendelea udiwani wao, madiwani hao ni malla, Bayo, Mpanda, Rehema...tutaendelea kuwajuza..

===========


Photo-0056.jpg
Photo-0060.jpg
Photo-0058.jpg ============================================
Leo Tarehe 20-09-2011 mahakama imekubaliana na pingamizi la upande wa Chadema na kesi kufutwa..............

Ile kesi iliyokua inawakabili wale madiwani watano Arusha hatimaye hukumu imeshatekelezwa na wameshindwa na sasa uchaguzi wa madiwani Arusha utarudiwa tena! Souce Mahakama kuu Arusha.

Ni kweli wale madiwani kama uamuzi ulikuwa na shinikizo basi watalia sana, maana mahakama imepigilia msumari kuwa kama wanataka wakate rufaa kwenye CC ya chama na si mahakamanio tena. Mimi nitoe pongezi kwa hakimu kupractice weledi wake badala ya kuburuzwa! Hiyo ni changamoto kwa hao madiwani kuwa hakuna aliye maarufu kuliko chama. Chama ndiyo kimewafikisha hapo, hivyo hawakutakiwa kubweteka na kuitunishia misuli CC.
Ngoja tuone Mkuchika naye atasemjae baada ya hukumu hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuchika hajui sheria hata Twendwa kamshangaa. yaani mtu akishanganyanwa uanachama anakuwa kajifutia nyazifa zote za uwakilishi mpaka hapo mahakama itakapotengua sasa iweje madiwani hawa waendelee na uwakilishi wao? wanawakilisha wananchi kupitia chama gani? wanatekeleza sera zipi wakati CDM imeshawatimua?. Sasa nimeamini serikali ya CCM ndiyo inatia mafuta mgogoro huu.
 
Hao madiwani WACHUMIA TUMBO wambieni waende George Mkuchika akawapangie kazi nyingine kwani hili la uwakilishi hawaliwezi.

waliokuwa madiwani kupitia chadema wilaya Arusha mjini na chadema watatinga mahakamani ni kwenye sakata la wasaliti hao kutaka kurudishiwa uanachama wao na kuendelea udiwani wao, madiwani hao ni malla, Bayo, mpanda, rehema...tutaendelea kuwajuza..
 
mpaka sasa wasaliti hawajaonekana kwenye viwanja vya mahakama, lakini watu walioko hapa wanapanga kwenda nyumba kwa wasaliti kama hawataonekana, wanadai imefika wakati wa vitendo na hawawezi kuendelea kupotezewa muda wao kijinga..
 
waliokuwa madiwani kupitia chadema wilaya Arusha mjini na chadema watatinga mahakamani ni kwenye sakata la wasaliti hao kutaka kurudishiwa uanachama wao na kuendelea udiwani wao, madiwani hao ni malla, Bayo, mpanda, rehema...tutaendelea kuwajuza..
Mahakama zinatii maagizo ya Mkuchika kuwarudishia uongozi. Sijui wawakilishi wa nani? Mahakama au serikali au Mkuchika?
Arusha wameapa hawatawaruhusu kuingia katika manispaa yao. tutegemee mauaji mengine ya raia nayo yataitwa "Mkuchika - Masacre".
 
waliokuwa madiwani kupitia chadema wilaya Arusha mjini na chadema watatinga mahakamani ni kwenye sakata la wasaliti hao kutaka kurudishiwa uanachama wao na kuendelea udiwani wao, madiwani hao ni malla, Bayo, mpanda, rehema...tutaendelea kuwajuza..

vibaraka hao
 
Leo nataka niidharau mahakama nione nini kitatokea.
Hata kama mtuhumiwa namba mbili kashafika mimi(mtuhumiwa namba moja) siji mahakamani.
Sababu za kutofika kwangu ni kupinga kuitwa kwenye kesi na wahuni(madiwani waasi).
 
Naibu meya wa Arusha Comrade Mallah, na Diwani Bayo, hawa ndio wanamapinduzi wa Arusha wapenda amani.
Nimejitolea nitawatafutia mawakili watatu hata kutoka nje ya nchi mpaka wapate haki yao za kikatiba, ingawa najua kabisa hiyo kesi inaweza kuchuwa miaka minne mpaka mitano
 
katika mazunguzo lema kauzwa swali kuwa kwanini chadema kina itwa ni chama cha wahuni..jibu lake chadema ni chama cha wanyonye waliopoteza matumaini hivyo vijana kwa wazee wasio na kazi au wale wa hali ya chini ni chadema ndiyo hao wanao itwa wahuni akatoa mfano libya kuwa wakati wanaanza harakati waliitwa panya? wavuta unga lakini leo gadafi anaishi shmoni akatoa mfano kuwa yeye siyo rahisi kumkuta anaongea na benson na matajiri wengine ila mara nyingi utakuta anongea na wtu chini..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom