Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA watinga mahakamani

Mkuu nitakuwepo lakini nitajitahidi kukaa mbali na wewe naogopa mizinga.Naomba uanzishe thread yake na uripoti bila ushabiki.

Jumatatu unaanza harakati za kuutafuta ubunge, vipi utakuwepo huko....
 
Mkuu hii kesi haiwezi kuamuliwa bila kupitia katiba ya CHADEMA maana huo ndiyo msingi wa ni namna gani mwanachama anapoteza sifa ya kuwa mwanachadema period. It is that simple, no rocket science!!!!!!!!

Nakuona ndugu yangu umekuwa na JAZBa kiasi cha kutojua KAZI ZA MAHAKAMA. Sasa napenda kukujuza kuwa kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria ikiwemo hiyo katiba ya Chadema na kuhakikisha haki inatendeka kwa pande zote kwa maana washitakiwa na washitaki.

Naomba uwe na Subra na kuipa mahakama nafasi ifanye kazi yake pasi na shida ili watoe uamuzi sahihi pasi na kupendelea upande wowote. Huo ndio unaitwa Utawala wa Sheria.
 
Mkuu nitakuwepo lakini nitajitahidi kukaa mbali na wewe naogopa mizinga.Naomba uanzishe thread yake na uripoti bila ushabiki.
Uoga ni dhambi kubwa kuliko zote....kwanini usianzishe wewe hiyo thread mimi sina ushabiki tofauti na wewe umejaa unafiki....
 
Nakuona ndugu yangu umekuwa na JAZBa kiasi cha kutojua KAZI ZA MAHAKAMA. Sasa napenda kukujuza kuwa kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria ikiwemo hiyo katiba ya Chadema na kuhakikisha haki inatendeka kwa pande zote kwa maana washitakiwa na washitaki.

Naomba uwe na Subra na kuipa mahakama nafasi ifanye kazi yake pasi na shida ili watoe uamuzi sahihi pasi na kupendelea upande wowote. Huo ndio unaitwa Utawala wa Sheria.
ungetoa ushauri huu kwa mawaziri wa CCM pia na wakaufanyia kazi basi tusinge kuwa tuna rumbana hapa...
 
Imetulia hiyo hao wasaliti hata mahakamani watabwagwa ndani ya miezi 3, hakuna mahakama ya kuwalea hata kama itaagizwa na Mkuchika na Kombani
 
mawakili wa malla na wenzake hawakufika mahakamani wakamtuma dada moja kuja kuomba kesi isomwe baada ya siku 14 lakini hakim amekata na badala yake itasomwa tarehe 13..watu walikuwa ni wengi sana walio jitokeza kujua kufatilia kesi hii
 
<br />
<br />
nimefurahi sana kusikia watu walikuwa wengi sana. Kwani washtakiwa namba moja ni wanachama wote wa chadema, mshtakiwa wa pili Mbowe. Viva CHADEMA.
 
chadema imeshaandi barua kwenda kwa pinda juu ya madiwani kuendelea kuhudhulia vikao wakati wamefungua kesi ya kuomba kurudishiwa uanachama, na kama watakuwa hawajapewa majibu mpaka j3 kutafanyika mkutano pale nmc
 
Maamuzi ni ya chama,hawana sifa fukuza hata mahakamani hawapati kitu.peoplez power
 
Malla ni kama amechanganyikiwa, amekata rufaa kwenye ngazi ya juu ya chama, huku wamefungua kesi mahakamni. hii sijui ni akili ya wapi!
Wamefungua kesi, bado wanaogopa kufika mahakamani kukabiliana na nguvu ya umma.
 
Heshima kwako Ruta.

Mkuu tuko pamoja kabisa.

Mkuu Baru utashangaa viongozi na baadhi ya wanachama wa CDM tayari wameshatoa hukumu Mahakama ikitoa hukumu yake tofauti na walivyotarajia hawakawi ohoo Hakimu kahongwa.
Mkuu Ngongo, upo.....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom