johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,933
- 141,902
Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara.
Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani.
Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale bungeni kwamba CCM ni kokoro.
Walau madiwani wa upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo ila hawa kijani wako kusaka tenda zaidi.
Maendeleo hayana vyama
Narudia tena,
Maendeleo hayana vyama!