Madiwani wa Upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo tofauti na wale wa CCM ambao husaka tenda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,467
141,169
Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara.

Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani.
Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale bungeni kwamba CCM ni kokoro.

Walau madiwani wa upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo ila hawa kijani wako kusaka tenda zaidi.

Maendeleo hayana vyama

Narudia tena,

Maendeleo hayana vyama!
 
Hivi kweli baraza la madiwani sehemu kama Ubungo lililojaa kijani tupu leo hii lina uwezo wa kufanya mijadala ya maana ya kumsaidia mnyonge compared to enzi hizi walipokuwepo makamanda kama J. J. Mnyika; Boniface Jacob; et. al? Sioni cha maana mule zaidi ya kuwinda na kukuwadia tenda, kupitisha tozo za kipuuzi kama za kwenye sherehe za kumcheza mwali, vipaimara, bairth day, etc. kugeuzwa sehemu ya mapato ya halmashauri!
 
Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au mawakala wa wafanyabiashara.

Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani.
Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale bungeni kwamba CCM ni kokoro.

Walau madiwani wa upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo ila hawa kijani wako kusaka tenda zaidi.

Maendeleo hayana vyama

Narudia tena,

Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni mshabiki tu huwezi kuwa msukuma,ni mti gani wewe kwenye utawala huu wa kusifu unatowa kasoro? Kajifunze kwa Mwanakijiji,na Kichuguu
 
Mkuu twende taratibu...kila mtu ata kili kwa wakati wake ngoja ifike 2025...

Mitano tena
 
Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara.

Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani.
Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale bungeni kwamba CCM ni kokoro.

Walau madiwani wa upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo ila hawa kijani wako kusaka tenda zaidi.

Maendeleo hayana vyama

Narudia tena,

Maendeleo hayana vyama!
Hili liko wazi,
Sehemu nyingi wananchi watalia kwa maslahi ya madiwani.
Wanaambiwa makusanyo ndiyo yanawalipa posho, kwa hiyo kazi kukamua wananchi kwa kisingizio cha mapato ya Halmashauri bila kujali wananchi wanaumizwa kiasi gani. Wengi watafunga vibiashara vyao vya kujikimu.
 
Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara.

Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani.
Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale bungeni kwamba CCM ni kokoro.

Walau madiwani wa upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo ila hawa kijani wako kusaka tenda zaidi.

Maendeleo hayana vyama

Narudia tena,

Maendeleo hayana vyama!
Babu yamekuwa hayo tena?
 
Nakubaliana na wewe 100 asilimia. Watafuta tenda wako ccm nao huwa karibu sana na watoa tenda kama wakurugenzi nk. Wote hupeana mapande. " Nipe tenda nikupe chako, nipe changu nikupe tenda "
Hao wanataka maslahi binafsi na upinzani njaa tupu!
 
Back
Top Bottom