Madiwani wa CHADEMA Arusha wagawanyika

Madiwani wa CHADEMA Arusha wagawanyika

Feedback,Before you all break your arms patting yourselves on the back and require tongue retreads from hailing each other, can I just say something please?Thank you for your kind accomodation! Let me say thisNaona uko Obsessed na majina ya watu sana.Sijui jina la Ben linaingiaje kwenye huu mjadala......Unapenda sana kuingia kwenye personal issues...kwako personal vendatta ndiyo hoja.Unastahili kuonyesha ni kitu gani kimekufanya au kuhalalisha wewe kunihusisha na hayo mambo uliyoandika hapo juu otherwise utuache tufanye kazi ya kukijenga chama chetu.hizo grudges zako zihifadhi kwenye friji mkuu,tuwe objective.the fact kwamba uko nyuma ya ID fake isikufanye uandike vitu ambavyo ni vya kinafiki,iam sure nikutana na wewe huna courage ya kuniambia hayo unayoandika kuhusu mimi au wengine,are you? Kuwapa nafasi za uongozi? Eboh ! Unamaanisha mimi kupewa nini vile?... kwa nipewe nafasi ya uongozi?kwa misingi ipi?For your information mimi siwezi kuwa mwanasiasa wa hovyo kiasi hicho.Unaonekana unahusudu sana vyeo vya kupewa bila tathmini.Sijawahi kujitathmini na kuona kwamba ninastahili kingine ndani ya Bavicha zaidi ya MWENYEKITI WA VIJANA.So,kuanzia leo uelewe hilo. Sijui unajua maana ya kiiongozi/uongozi. What we need is leadership. Someone who inspires people to follow him by his words and actions. Someone who has vision,energy and youth that can lead a team of similar traits to formulate and implement agendas/policies that will unite,impact positively on the lives of the populace.
Mkuu Ben hawa jamaa wanafurahi sana unapojibu pumba zao, nimesema ni Pumba kwa sababu sijapata neno nzuri kuwakilisha ujumbe. Lkn yote kwa yote wanaturahisisha sisi kukijenga chama chetu.
 
Hongera sana EF kumbe na wewe umeliona hilo, hawa ndio viongozi wetu wanaotaka uongozi ili waje kuwa wajumbe wa kamati mbalimbali ikiwemo hiyo wanayoipinga na kuiita kuwa ni ya vitisho lakini uzuri hata wazee wanalijua hilo ndiyo maana hata ballot box hawakulinusa.

......Kisha yule Nabii akamwambia yule kipofu umefanikiwa kuona na umemuona mnyama punda anaekubeba kila siku, sasa utaendelea kuwa kipofu......
Baada ya siku kadhaa kipofu yule akawa akiambiwa kuna kitu kizuri kimepita, yeye aliwauliza wasaidizi wake ..''ni kizuri kama punda?''
Hata wewe ndugu feedback ( kwa kiswahili mrisha nyuma) shikilia hilo neno la vitisho mpaka mwisho wa darahari.
 
Sijui ni wapi nilikosema siwezi kufanya kazi zingine za chama hadi niwe mwenyekiti...Duh,inaonekana una tatizo la kuelewa.I think i should ignore you now! Eish! ! !
Ehee! Ben nilikuwa nasubiria hiyo "I THINK I SHOULD IGNORE YOU" Mkuu kamatia hapo hapo! Huyu jamaa (feedback) nimemsoma kwenye thread nyingi anakuchallenge kipumbavu with pointless comments!
 
Sijui ni wapi nilikosema siwezi kufanya kazi zingine za chama hadi niwe mwenyekiti...Duh,inaonekana una tatizo la kuelewa.I think i should ignore you now! Eish! ! !
Usitake kudhani wengine hatujui kusoma, soma post yako hapo kwenye red..................

If you think ignoring people who are telling you the truth is the best option go ahead who cares anyway.

quote_icon.png
By Ben Sijawahi kujitathmini na kuona kwamba ninastahili kingine ndani ya Bavicha zaidi ya MWENYEKITI WA VIJANA.
 
BENARD,
LOOK BEFOE YOU LEEP, HE SOUND LIKE MACBETH's PROPAGANDAZ, LET HIM UPROOTISE HIMSLF!!

Comrade,

Dont mind em, they're probably Outstanding in their Field…and that's where they shudda be… Out Standing in a Field ! ! !

Jembe Nyakarungu,By the way kuna mjadala ameanzisha mwanafalsafa! kule wa the new Africa umeuona?napita kule fasta ...
 
wana chadema tuweke tofauti pembeni ili tuweze kujikita kupambana na ccm; hawa akina ben ambao hawapo tayari kuongoza pasipo kupata nafasi ya uenyekiti wa vijana, hawatufai!!! tuwapotezee kabisa, walifuata vyeo wamekosa, hawana utashi tena wa kufanya kazi za chama
 
sasa jembe hapo umeandika kifasihi au umemaanisha, maana humu kuna watu wanameza neno kama lilivyo
 
quote_icon.png
By Ben Sijawahi kujitathmini na kuona kwamba ninastahili kingine ndani ya Bavicha zaidi ya MWENYEKITI WA VIJANA.

Usitake kudhani wengine hatujui kusoma, soma post yako hapo kwenye red..................

If you think ignoring people who are telling you the truth is the best option go ahead who cares anyway.
Dah mkuu simtetei Ben ila kwa tafsri yako uliyom quote(kwa kubold na red) na kuacha msingi wa sentensi (nilipo bold na blue) inaonyesha ni jinsi gani unachuki binafsi kwa kuforce tuamini unachotaka wewe.
Na kama kweli huelewi alicho maanisha hapo juu ulipo mquote basi upeo wako wa ufahamu unatia mashaka sana
 
wana chadema tuweke tofauti pembeni ili tuweze kujikita kupambana na ccm; hawa akina ben ambao hawapo tayari kuongoza pasipo kupata nafasi ya uenyekiti wa vijana, hawatufai!!! tuwapotezee kabisa, walifuata vyeo wamekosa, hawana utashi tena wa kufanya kazi za chama

Ulipoanza na neno 'Wanachadema' inaonekana haujiamini amini vile...unatafuta mob support to justify your malicious intent.Una uhakika na hilo uliloongea hapa au na wewe umeunga tela tu? nikikuambia kazi ninayoifanyia chama changu utaomba radhi?Anyways,haina haja na hilo.......be free
I mean if you are here to spew bitter rants, that is always good but you have asked questions and make some claims which even I on researching are baseless i.e just you spewing rants and not factual.

Iam out for now by the way karibu kwenye kikao J'mosi ijayo utuchangie kwenye harambee ya kutunisha mfuko wa kuandaa/kuwawezesha vijana wenye uwezo na vigezo vya uongozi kuingia bungeni 2015.Otherwise,you are entitled to your opinions on whatever you choose to make your business, I speak blessings......and have a Good night sir/madame! ! !
 
marehemu wangwe alitofautina na MBOWE akapotezwa, ZITO ALIANZA KUTOFAUTIANA NA MBOWE akazimwa kiana, KAFULILA nae akakimbilia mlango wa NCCR. Nanyi ni zamu yenu kulamba viatu vya MBOWE ILI MUISHI KATIKA BAHARI YA CDM
 
wana chadema tuweke tofauti pembeni ili tuweze kujikita kupambana na ccm; hawa akina ben ambao hawapo tayari kuongoza pasipo kupata nafasi ya uenyekiti wa vijana, hawatufai!!! tuwapotezee kabisa, walifuata vyeo wamekosa, hawana utashi tena wa kufanya kazi za chama

CDM ni genge la watu wenye nia ya kuharibu mchakato wa wananchi kujiletea maendeleo.
1. Singida Tundu Lisu anahimiza wananchi kuacha kuchangia maendeleo yao.
2. Arusha akina Lema kila siku wanahimiza shari tu na vurugu zisizo na kikomo.
3. Wao ni kulalama tu na kuchochea mifarakano ndani ya jamii pasipo MBADALA WA KUENDELEZA NCHI.

HAWA WATU WANATAKIWA WAZOMEWE NA MAKOMBATI YAO KAMA HAWAPO HURU! Tuwapotezee WATZ tujiandae sherehe za kutimiza miaka 50 ya UHURU

wana chadema tuweke tofauti pembeni ili tuweze kujikita kupambana na ccm; hawa akina ben ambao hawapo tayari kuongoza pasipo kupata nafasi ya uenyekiti wa vijana, hawatufai!!! tuwapotezee kabisa, walifuata vyeo wamekosa, hawana utashi tena wa kufanya kazi za chama
Magwanda huvuliwa kila apitapo NAPE! Safi sana kazifuma na barua zao za uchochezi kwa wananchi, zinazowaomba wananchi kuacha kuchangia maendeleo kama vile Tindu Lissu anavyofanya jimboni mwake
wana chadema tuweke tofauti pembeni ili tuweze kujikita kupambana na ccm; hawa akina ben ambao hawapo tayari kuongoza pasipo kupata nafasi ya uenyekiti wa vijana, hawatufai!!! tuwapotezee kabisa, walifuata vyeo wamekosa, hawana utashi tena wa kufanya kazi za chama

CDM hawachoki siasa za uchwara. Nape kwani aliwapa ratiba ya ziara yake???? Msipende kudandia yasiyowahusu, malizeni mgogoro na madiwani wenu ambao wameapa hawatathubutu kutekeleza maagizo ya Kamati Kuu yenu kupitia barua ya Dr. Slaa. Aibu imewakuta madiwani wenu kutamka mbele ya wandishi wa habari kuwa KAMWE hawatishiki na barua toka taifani wao wanaangalia maslahi ya wapiga kura wao.

Need I say more ? Nawahurumia magamba kwani nikisoma vitu kama hivi JF nalikumbuka gamba lenyewe lililojaa Ikulu, nalikumbuka gamba la kati lililowahi kukalia kiti cha Uspika na nakakumbuka kagamba kalikokotolewa CCJ na sasa kanazurura kakiropoka ovyo ! Kazi ipo !
 
wana chadema tuweke tofauti pembeni ili tuweze kujikita kupambana na ccm; hawa akina ben ambao hawapo tayari kuongoza pasipo kupata nafasi ya uenyekiti wa vijana, hawatufai!!! tuwapotezee kabisa, walifuata vyeo wamekosa, hawana utashi tena wa kufanya kazi za chama
Mwenyewe kaandika hastahili nafasi nyingine kwenye chama zaidi ya kuwa Mwenyekiti wa Vijana na quotation bado ipo sasa sijui anachokataa ni kitu gani. Watu wanaotafuta vyeo kwa njia hizi wasipopata wako radhi kusema tukose wote, kauli hii ni ya ubnafsi wa hali ya juu you think you were born to lead others ni hatari sana, but thanks a lot kwa uongozi imara wa Chadema chini ya Mbowe na wazee kwa kuliona hili mapema. Mimi ni supporter na mtetezi wa sera za CDM lakini siwezi kutetea upuuzi mtu asipoweka mbele maslahi ya chama ninachokiamini hata kama ni kiongozi namwambia i careless.
 
marehemu wangwe alitofautina na MBOWE akapotezwa, ZITO ALIANZA KUTOFAUTIANA NA MBOWE akazimwa kiana, KAFULILA nae akakimbilia mlango wa NCCR. Nanyi ni zamu yenu kulamba viatu vya MBOWE ILI MUISHI KATIKA BAHARI YA CDM
Hayo mambo ya Wangwe mliyapanga nyie wenyewe kwa kudhani chama kitasambaratika na bado kiko imara, kwani Kolimba mlimfanya nini Dodoma baada ya kusema mmekosa dira.
 
quote_icon.png
By Ben Sijawahi kujitathmini na kuona kwamba ninastahili kingine ndani ya Bavicha zaidi ya MWENYEKITI WA VIJANA.

Dah mkuu simtetei Ben ila kwa tafsri yako uliyom quote(kwa kubold na red) na kuacha msingi wa sentensi (nilipo bold na blue) inaonyesha ni jinsi gani unachuki binafsi kwa kuforce tuamini unachotaka wewe.
Na kama kweli huelewi alicho maanisha hapo juu ulipo mquote basi upeo wako wa ufahamu unatia mashaka sana
paulss unaweza kutuambia Ben alikuwa na maana gani kwenye sentensi yake labda na mimi sikumwelewa vizuri
 
Naomba nikuite boss,
Ni hatua nzuri sana umefikia ya kuweza kusoma maandiko ya mtu na kuweza kuyaweka katika mfumo reply with quote, lakini nikushangae kidogo, Inawezekanaje uwe na uwezo mkubwa sana wa kuandika kirefu na ushindwe kufuatilia mada nzima ilipoanzia na kuwa maneno hayo yameandikwa kwa kujibu kitu gani?,
Pole na kazi, ila naomba ufuatilie mtirirko wa mada tangu mwanzo na ingependeza hoja yangu ungeiweka yote sio kukata kipande cha mnaso tu mkuu.
Chadema itasimama imara na huwezi kuiyumbisha kamwe, na itadumu na utaishudia ikidumu.
Mkuu Nyakarungu mimi nilikuwa nauliza tu ulikuwa na maana gani uliposema unapinga hukumu na vitisho nafikiri ulimaanisha vya kamati kuu ya CDM nikajiuliza inakuwaje wewe tuliyekuwa tunakutegemea kuwa m/kiti wa vijana upinge hadharani maamuzi ya vikao vya chama?
 
kumbe nimejua huyu feedback ana chuki binafsi na hawa akina ben na nyakarungu na yeye ndiye EasFit tena hii ni vita yao wenyewe tuwaachie jamani.
 
quote_icon.png
By Ben Sijawahi kujitathmini na kuona kwamba ninastahili kingine ndani ya Bavicha zaidi ya MWENYEKITI WA VIJANA.
paulss unaweza kutuambia Ben alikuwa na maana gani kwenye sentensi yake labda na mimi sikumwelewa vizuri
Mkuu alichomaanisha hapo ni kuwa hajawahi kujitathmini na akaona kwamba anastahili kingine ndani ya BAVICHA zaidi ya uenyekiti wa vijana.
Nashindwa hata kuitafsiri hiyo sentensi maana ipo wazi mno mkuu, zingatia neno SIJAWAHI
 
kumbe nimejua huyu feedback ana chuki binafsi na hawa akina ben na nyakarungu na yeye ndiye EasFit tena hii ni vita yao wenyewe tuwaachie jamani.
Kama mimi ni feedback na wewe ni nani.... tuachane na hayo turudi kwenye swala langu la msingi unalizungumziaje au ulikuja kwa ajili ya kutoa taarifa tu.
 
quote_icon.png
By Ben Sijawahi kujitathmini na kuona kwamba ninastahili kingine ndani ya Bavicha zaidi ya MWENYEKITI WA VIJANA.
Mkuu alichomaanisha hapo ni kuwa hajawahi kujitathmini na akaona kwamba anastahili kingine ndani ya BAVICHA zaidi ya uenyekiti wa vijana.
Nashindwa hata kuitafsiri hiyo sentensi maana ipo wazi mno mkuu, zingatia neno SIJAWAHI
Mkuu bado sijakuelewa unaposema iko wazi kivipi.
 
Back
Top Bottom