Duh....Samahani sana.inaonekana nimekukosea sana!
Ha ha ha ha.....................! Loh......Halafu kwa Taarifa yako sina historia ya kushindwa uchaguzi,sina rekodi ya kushindwa Ballot Box ikiwa mbele yangu.Watu kama ninyi inaonekana mnaogopa sana kushindana kwenye ballot,kama mtu ni dhaifu wa kujenga hoja kiasi hicho si utatafuta mbinu za kuchakachua? Natoa wito kwako na wengine msiogope free and fair election....Anyways,Good day ila isilalame sana mkuu
Mungi,
Watu wanaposhindwa kujenga hoja wanaishia kulalama na kutia huruma tu inakuwa tatizo......cynics huwa wanapata shida sana.Sijui ni kwa nini watu hawako tayari kutoa mawazo huru,wanapenda unazi nazi tu!
Kwenye huu mjadala naomba nitoke ila...isije ikawa chanzo sasa cha watu kupotosha nikihitajika kuweka rekodi straight nitarudi kuweka lakini sichangii tena hoja iliyopo kwa sababu naona kuna watu wameelemewa sana.