Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 371
Wana JF,
Ninge penda kurudi nyuma kidogo tu, Hivi hii kasheshe ya u Mayor (Jimbo la Arusha mjini) Nani ndio Chanzo twendeni sasa kielimu , Kiufahamu na fikra makini kwanza?
Na kama kweli Uchaguzi wa Mayor (Arusha) Usinge kuwa wa kimagumashi CCM/CDM wange ufanya huo uchaguzi bila kudanganyana leo tunge kuwa wapi?
Naona Kama lawa zaenda CDM? kwanini? CCM hawatajwi humu ndani mbona? Hii sio Ishara ya kuchezesha chess game hapa? Mtu mmoja anatafuta weekness ya mwingine ili ammalize mwingine au ndio kuviziana??
Mwafaka ulianzia wapi i mean ulianzaanzaje mpaka ukafikia hautua ukatokea kwa waandishi wa habari badala ya tamko kutoka kwa vyama hivyo viwili CCM/CDM?? Hamuoni hapo mutatuyumbisha kwa tamaazenu za kiuongozi au ndio tusema uchu wa madaraka hata kama fulani au fulani anayo hela au elimu fulani still twajua the whole process sio kamili lina viini macho tuu kwa wananchi, Je hizo ndio Siasa za Arusha za makundi ya watu walio nacho na wasio nacho maana huo mgogoro ukiuchimba ndani una mambo rukuki usipime, Leo hii mwaja na danganya toto ati madiwani wa CDM njaaaa na hao wa CCM je?
My Take: Tunaomba ktk hili kusiwe na vibaraka wa vigogo wowote kutoka pande zote CDM/CCM. Maana siasa za huko Arusha twazijua fika ubinafsi ni mkubwa kuliko UTU matabaka ya wenye nazo ni kubwa kuliko wasio nazo sie waafrika tuan matatizo sana. Kikubwa ni Uchaguzi urudiwe ndipo kutakuwa na BLACK&WHITE ya kupata Mayor watuletee Mkakati au sheria nzima inayotaka au inayotuonyesha jinsi ya kumchagua Mayor maaan kupishana kwa CDM na CCM nao wanahusika ilo liko wazi wananchi ndivyo tunavyojua na kunapikwa majungu mengine mengi sana huku twayapata maana CDM/CCM wanazungukana MBUYU. Huo Muafaka wanao ulazimishia ni kutaka kuwavuruga wananchi tuu hapo basi na kutafuta sababu zisizo na kichwa wal miguu.
Kama kweli CCM/CDM wanannia thabiti kabisa ya maendeleo ya Jimbo la Arusha its very simple wayavue madaraka yao yote warudi mezani uchaguzi wa Mayor ufate kanunu na majibu yatoke hapo hapo that is Democras ndio tujue kweli CCM/CDM hawana uchu wa madaraka period, kama kweli wao ni wazalendo kweli wa maendeleo ya mji huo wa Arusha