Gwajima
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 253
- 406
Mimi si mwandishi wa makala kwa taaluma ila naomba wasimamizi wa JamiiForums msiunganishe mada hii na mada nyingine.
Kuna mambo katika ulimwengu inabidi kuwa makini nayo kwani yanaweza kukuumbua muda wowote ukiyapaparikia.
1. Teknolojia
2. Njaa
3. Ujinga
Leo nitawaambia madhara ya kuvamia teknolojia ukubwani, nitaorodhesha tu bila kuelezea maana yanaeleweka
i. Kuaibika
ii. Kugeuzwa kituko
iii. Kuishi na hatia moyoni
iv. Wanao wataogopa kujitambulisha kwa jina lako maana watachekwa.
Poleni mliowahi kuumbuliwa na teknolojia.