Nimefurahi sana. Unawachukia waliosomea British Common law. Hata ulivyo andika vizuri bila hata kukosea herufi inaonesha wewe kweli uliisomea hiyo hiyo British. Sasa, unajichukia mwenyewe ndugu yangu??
Sikiliza ushauri wa wenzio nao. Wanakuambia, Lissu hajakosea popote. Amejitahidi kutuonesha mahali tutakapokuja kamatika. Kumbuka samaki wa Mvietnam. Pesa za kodi badala ya kwenda kununua madawati si zikaenda kumlipa Mvietnam na kumnunulia meli mpya?? Lile bovu lake kaliacha pale karibu na magogoni. Upoooo??
Sasa lisu kakuambia, huenda kukatokea tena ngoma nyingine kali zaidi. This tyme, mtawalipa wazungu na bado waje wayabebe makontena yao na kuyapima upya. Ninavyo wafaham watz ukienda saa hii, baadhi ya makontena hayana tena milango na udongo ushapotezwa. Tutalipa na nani?? Simtetei Lissu wala ACACIA. Wakafilie mbali nami. Namuomba tu mkulu, akiona vip, AWAPE WAZUNGU MAKASHA yao. Tuendelee kunyonywa tuuu hadi aje mwokozi. Ila tunasema B/up saana JPM kwa kuthubutu