Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Last edited by a moderator:
Mkuu.@igwe sr. tunaweza kusema umoto wa haya maji ni sawaawa na umoto wa chai kwa ufupi maji ya Uvuguvugu tu yaliyochemka kidogo kidogo kiasi ya wewe kuweza kuyanywa mdomoni yasikuunguze ulimi moto kidogo unaweza kutoa maji kwenye Friji ukayachemsha na kunywa hamna tabu ili mradi yawe maji ya Uvuguvugu yasiwe baridi.Naomba kukuuliza mzizimkavu, haya maji moto,ni yale yaliokuwa hajaweka kwenye friji,ama yale yaliyotoka kuchemshwa na yamepoa kidogo??
Mkuu.@igwe sr. tunaweza kusema umoto wa haya maji ni sawaawa na umoto wa chai kwa ufupi maji ya Uvuguvugu tu yaliyochemka kidogo kidogo kiasi ya wewe kuweza kuyanywa mdomoni yasikuunguze ulimi moto kidogo unaweza kutoa maji kwenye Friji ukayachemsha na kunywa hamna tabu ili mradi yawe maji ya Uvuguvugu yasiwe baridi.
Kwa sababu Mzizimbichi unachimbwa Dawa lakini MziziMkavu Hauchimbwi Dawa au sivyo Mkate wa Boflo? kwanini usijite Mkate wa Boflo?Asante sana MziziMkavu...
Kwa nn usijiite MziziMbich?
MziziMkavu Bongo watu wengi huwa wanaweka vi friji vidogo ndani ya Bedroom zao nikiwemo mimi, naomba utupe ufafanuziKwa sababu Mzizimbichi unachimbwa Dawa lakini MziziMkavu Hauchimbwi Dawa au sivyo Mkate wa Boflo? kwanini usijite Mkate wa Boflo?
Mkuu Boflo Hakuna madhara lakini kunywa maji ya baridi yana madhara Mkuu pendelea kunywa maji ya uvuguvugu kama wanavyokunywa Wachina.................. Umesha wahi kumsikia mchina anaumwa ovyoovyo kama sisi tunavyoumwa wabongo? kwa sababu anakunywa maji ya Uvuguvugu.MziziMkavu Bongo watu wengi huwa wanaweka vi friji vidogo ndani ya Bedroom zao nikiwemo mimi, naomba utupe ufafanuzi
hakuna madhara kulala na friji, au gesi inayotolewa na friji??