Madhara ya kunywa maji ya baridi haya hapa

Madhara ya kunywa maji ya baridi haya hapa

kiukweli kama yana madhara kama hayo cjui nitafanyaj ili niweze kunywa ya uvugu vugu maana nayapenda kupita kiasi duh!!!!!
 
....hata matumizi ya papuchi/mbunye yanapozidi sio salama..tumieni papuchi/mbunye kwa kiiasi ndo mtakuwa na afya njema
 
Now I discover that as time goes on people try to reduce the risks that lead to death but kifo hakina ujanja wafanye wafanyavyo Death is a must...
 
Hata maji ya bomba unatakiwa uyachemshe kabla yakuyanywa au uyaache dakika 5 kabla ya kuyanywa endapo unayanywa kwa mda huwohuwo. Think u doctar mwenzangu kwa kuwaelewesha raia maaana hawaelewi hasa hawa ambao hawaja kanyaga shule
 
Cold water myth
Screenshot_20190108-232745.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
maji baridi siyo nzuri kwanza inanenepesha na tumbo linakuwa kubwa halafu mifupa badae unaweza ukapata tabu
Maji yananenepesha vipi mkuu hii ni sayansi ya wapi, maji yawe baridi au moto yakiingia tumboni ni lazima yataendana na joto la mwili 37 degree centigrade
 


UNYWAJI wa maji baridi, hasa katika joto kali kama la Dar es Salaam, ni kiburudisho kikubwa cha koo na huleta faraja kubwa mwilini. Ni jambo la kawaida pia kwa mtu kuhitaji kunywa maji hayo mara baada ya kula mlo, iwe mchana au usiku.
Pamoja na ukweli kwamba maji baridi ni matamu, lakini siyo mazuri kwa afya yako na katika makala ya leo tutaangalia ukweli kwa nini maji haya siyo mazuri.

Kwa mujibu wa utafiti uliokwisha fanywa na wataalamu wetu wa masuala ya lishe, mtu anapokunywa maji baridi mara baada ya kula chakula, maji yale yanapopita kwenye utumbo huchangia kugandisha mafuta yaliyomo kwenye chakula.

Kitendo hicho, husababisha usagaji wa chakula kuwa wa taratibu sana na hivyo kuchangia ukosefu wa choo. Mbali na ukosefu wa choo, ambao ni madhara yanayojionesha kwa muda mfupi, lakini pia kuna madhara ya muda mrefu yanayoweza kujitokeza baadaye sana.
Inaelezwa zaidi kuwa, wakati chakula kinapochelewa kusagwa kwa sababu ya kuganda kulikosababishwa na maji baridi, chakula hicho hukutana na

acid iliyoko tumboni ambayo huanza kuyayusha mafuta hayo haraka na kufyonzwa na utumbo kabla ya chakula chenyewe.
Hali hii inapoendelea kwa muda mrefu, tabaka la mafuta (fats) hujijenga kwenye utumbo na baadaye huweza kusababisha saratani ya utumbo. Halikadhalika, huweza kuwa chanzo kingine cha ugonjwa wa moyo ambao madhara yake ni pamoja na kupatwa na Kiharusi na hatimaye kifo.

Ili kuepuka hatari hii, unachotakiwa kufanya ni kuacha tabia ya kunywa maji baridi na badala yake pendelea kunywa maji ya uvugu-vugu mara baada ya kula chakula. Vile vile zingatia ushauri wa kukaa kwa muda usiopungua nusu saa ndiyo unywe maji.


MAJI MOTO NA ASALI KAMA DAWA

Kujiweka katika mazingira mazuri ya kuhakikisha unasafisha tumbo lako kila siku kabla ya kulala, weka utatartibu wa kunywa maji moto kiasi, yaliyochanganywa na asali. Chemsha maji moto au chukua maji moto yaliyopo kwenye chupa ya chai, acha yapoe kidogo na kuwa ya uvuguvugu,

kisha weka kijiko kimoja cha asali mbichi kunywa kisha lala. Kunywa maji hayo nusu saa au zaidi baada ya kula chakula cha mwisho.

Kitendo hicho kitakuwezesha kuyeyusha mafuta, kusadia usagaji wa chakula tumboni na hivyo kukuwezesha kutoa uchafu na sumu mwilini kwa njia ya haja kubwa. Kwa utaratibu huu, hutakaa na uchafu tumboni wala mrundikano wa mafuta mabaya mwilini.

Ni jambo lisilo shaka kuwa iwapo kila mmoja wetu atazingatia kanuni za ulaji na unywaji sahihi, bila shaka matatizo ya moyo na shinikizo la damu yanaweza kupungua kwa kiwango kikubwa, kama siyo kutoweka kabisa.
Mwili wa binadamu Una nyuzi joto 37,maji yakiingia tumboni yawe ya baridi au moto ni lazima yataendana na joto hilo by the way wachezaji mpira na wanamichezo hunywa maji ya baridi wawapo mchezoni na huko ulaya ndio kwenye wataalamu zaidi ya huku kwetu ina maana madhara hayo uliyoyaandika wameshindwa kuyabaini
 
Mie nimenunua jokofu na toka ninunue ni mwendo wa kunywa maji ya baridi.
Nimepitia huu uzi daaa nimechoka sasa jokofu sijui ni la nini sasa
 
Back
Top Bottom