Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

Hivi hamjui kwamba hawa wanajua kwamba wanaondoka 2015 ? Taarifa zinaonyesha kwamba Lengo lao ni kukomba kila kinachoonekana Mbele yao ! Hadi siku ya mwisho watakuwa wamelamba hadi computer zenye vichogo maofisini !
 
Naanza kupata shaka zaidi hasa nikikumbuka kwenye Salary Slip za sasa hakuna Employer's Pension Fund Contribution kinaoneka kile anachochangia mtumishi (employee tu)...Hapa kuna kamchezo kachafu na tusipostuka tutaliwa na kufikia kustaafu hakutakuwa na kitu mle maana Hazina wanatoa majibu rahisi kwa maswali magumu "Tunapeleka Contribution kwa awamu, kila tunapopata pesa tunapeleka at lampsum"
Tafakari
 
CHADEMA vs CCM ndio uwanja wenu
We jamaa inaonyesha ni mhudumu wa baa/hoteli, umeenda kuwahudumia wateja ukasikia wanaongelea hii issue, mara ukakimbilia chooni kuanziasha uzi. Huna unachojua, wala hakuna secret hapa, unajikosha tu...
 
...kiongozi tupia basi hiyo doc watu tuione bhanaa..
 
Wewe bwana hebu njoo utupe taarifa kamili basi.
Pamoja na madudu ya akina Beatrice na genge lake wa hapo Makao Makuu, huenda hili nalo likawa janga kubwa!
Ninge washauri tu hawa PSPF, watangaze wazi kuwa kwa sasa wako TAABANI KIFEDHA, pengine ukweli huo ungesaidia kuwatuliza wananchi wenye madai mbalimbali kwenye huo mfuko, kama baadhi wapiga kura wangu wa huko mkoani, ambao nimekua nikiwapigania kila wakati!
Ukweli kamwe haufichiki, ni suala la muda tu.
 
Hivi hamjui kwamba hawa wanajua kwamba wanaondoka 2015 ? Taarifa zinaonyesha kwamba Lengo lao ni kukomba kila kinachoonekana Mbele yao ! Hadi siku ya mwisho watakuwa wamelamba hadi computer zenye vichogo maofisini !

Hakuna zana kubwa katika maendeleo ya mwanadamu kama Akili, mali zinatafutika.
 
Wewe bwana hebu njoo utupe taarifa kamili basi.
Pamoja na madudu ya akina Beatrice na genge lake wa hapo Makao Makuu, huenda hili nalo likawa janga kubwa!
Ninge washauri tu hawa PSPF, watangaze wazi kuwa kwa sasa wako TAABANI KIFEDHA, pengine ukweli huo ungesaidia kuwatuliza wananchi wenye madai mbalimbali kwenye huo mfuko, kama baadhi wapiga kura wangu wa huko mkoani, ambao nimekua nikiwapigania kila wakati!
Ukweli kamwe haufichiki, ni suala la muda tu.

bosco,
after personal attack ya mtu mmoja naona umerudi tena..
This will be the first scandle in history abt the office of CAG kama ni kweli mnayoyaamini wewe na mtoa mada..kuchakachua ripoti..?
nawashauri msome code of conduct of an auditor..one of the codes ni kwamba auditor lazima awe indipendent and must be seen indipendent,
in the sense that findings zake lazima zitoke vilivyo bila kuchakachuliwa,
mfano: kumbuka audit iliofanywa na deloite kuhusu pesa za EPA mpaka deloitee wakaishia nusu ya safari bila kumalizia audit yao,unajua ni kwanini waliishia njiani?
angalia audit iliofanyika last year mpaka baraza la mawaziri likavunjwa, je wenye maslahi walishindwa kuchakuchua ili CAG afiche findings zake?
Jibu ni moja,kwa sababu AN AUDITOR MUST BE INDIPENDENT!
sasa leo mnasema CAG katoa ripoti tatu?kwa manufaa ya nani?ili iweje?mnajua lengo la auditing n nini? Kufichua au kuficha maovu?
kati ya wizara ya fedha iliochunguzwa na CAG then ripoti halisi kutolewa ( ikumbukwe pspf ipo chini ya wizara hii) na mfuko wenyewe wa pspf ,
ni ripoti gani labda ilibidi iwe ichakachuliwe (kama kweli auditors huwa wanafnya hivyo vitu/uchakachuaji) ?
 
nchi imefilisika muda mrefu, sema hakuna uwazi na ukweli kama ulaya tunaendeleza unafiki na uongo ambao haudumu, ni suala la muda mtu pesa za watu zitazuiwa benki ili kuokoa nchi, hazina iko na empty wallet.
 
Je mnajua kuwa kulikuwa na versions 3 za CAG reports ambazo zote zimefichwa from the public?

Yes Ludovick Utouh either kwa kuambiwa au kwa kusudi ameamua kuwa wasiweke ile ripoti ya mahesabu ya PSPF wazi japo ni pesa za pensheni zinazolipwa na idara zote za serikali.

Sasa policy makers na REAL decision makers washa maliza mchakato wa kuifunga PSPF kwa sababu apart from mambo mengine ni kuwa hakuna justification ya serikali kuendelea kufanya baby sitting ya mfuko huu.

Cha ajabu ni kuwa mpaka actuarial valuation ya huu mfuko ulishawapa picha kamiili kuwa hauna muda and its just a matter of time.

Maswali kwa wana JF:

1. Mnajua kuwa iliundwa taskforce kama iliyoundwa NIC na ilipeka ripoti kwa wahusika? Mnajua kwa nini ile ripoti ilifichwa?

2. Mnajua Actuarial Valuation ya PSPF ilifanywa na nani na alilipwa kiasi gani kwa fedha za madafu? na kigogo gani ali recommend alipwe kiasi hicho?

3. Mnajua kwa nini hiyo valuation report ilifichwa?

4. Mnajua SIRI ya Ludovick Utouh (CAG) kutoa ripoti 3 tofauti?

5. Mnajua kwa nini ile ripoti nyingine imefichwa?

So much so for OPEN GOVERNMENT INITIATIVE...ukweli ni kuwa wale wenye akili zao kule mitaa ya Lithuli na Magogoni washaliona hili dude ni NOT VALUE FOR MONEY & PURPOSE and its just a matter of time habari ya kulivunjwa itatolewa lakini kama kawaida mtapewa majibu ya mkato mkato na yote kwa sababu hao wanaotegemewa kuuliza maswali magumu naya ndani wako bize wakipeana mipasho ya CHADEMA vs CCM ili mpotezwe lengo

Usiku mwema.
press_freedom_putin_ibelieveinadv.jpg
 
kwahiyo umekuja kutulingishia unachokifahamu? unaweza kuwa miongoni mwa wapoteza malengo kwa kukalia taarifa nyeti! (unataka niamini kuwa id yako inaakisi tabia yako halisi?)
 
SSRA kupitia mkurugenzi mkuu wake wamewahakikisha wanachama wote kuwa, mafao yao hayataathirika, kwahiyo hakuna cha kuofia hapa.
Kwa mbali nakumbuka mafao ya waliokuwa wastaafu wa jumuiya ya Afrika Mashariki yalivyoathirika...serikali chini ya Ali Hasan Mwinyi haikuona hata haya kutafuna hela ambazo walikabidhiwa tu kuwafikishia walengwa. Wengi wa hao wastaafu wametangulia mbele ya haki bila kufaidi matunda ya jasho lao waliyoyasotea kwa muda mrefu...hivyo ndivyo serikali ya Tanzania ilivyo!
 
wana JF wako bize na mipasho ya akina CCM vs CHADEMA

kuna mtu wa kufikiria beyond petty politics za Mwigilu, Lema, Lwakatare na Youtube videos?

Ukumbi mmepewa lakini mko bize kujadiliana na nani ana watu wengi zaidi kwenye mikutano ya hadhara

Hata wakifikiria mambo ya PSPF wataziona wapi hizo documents ambazo unaziita SIRI...?
Tena sio siri tu bali TOP SECRET
 
wana JF wako bize na mipasho ya akina CCM vs CHADEMA kuna mtu wa kufikiria beyond petty politics za Mwigilu, Lema, Lwakatare na Youtube videos?Ukumbi mmepewa lakini mko bize kujadiliana na nani ana watu wengi zaidi kwenye mikutano ya hadhara
We ni mpuuzi kweliKama una data toa ila kama unataka kujifanya una data basi kanywee chai na Moro. Typical circus
 
hamna lojik ya ulichoandika, wadaiwa wakubwa wa pspf n serikali na taasisi zake ie takokuru, bodi ya mikopo etc na miradi ya ubia kat yake na serikali ndio imekula fwedha mabilioni huku urejeshwaji wake ukiwa wa kusuasua, kama wakuiua pspf na mifuko mingine yaa hifadhi ni mikopo hio kwa serikali kwa kiasi kikubwa huku ufanisi wa mikopo hio na urejeshwaji unatia shaka?
 
bosco,
after personal attack ya mtu mmoja naona umerudi tena..
This will be the first scandle in history abt the office of CAG kama ni kweli mnayoyaamini wewe na mtoa mada..kuchakachua ripoti..?
nawashauri msome code of conduct of an auditor..one of the codes ni kwamba auditor lazima awe indipendent and must be seen indipendent,
in the sense that findings zake lazima zitoke vilivyo bila kuchakachuliwa,
mfano: kumbuka audit iliofanywa na deloite kuhusu pesa za EPA mpaka deloitee wakaishia nusu ya safari bila kumalizia audit yao,unajua ni kwanini waliishia njiani?
angalia audit iliofanyika last year mpaka baraza la mawaziri likavunjwa, je wenye maslahi walishindwa kuchakuchua ili CAG afiche findings zake?
Jibu ni moja,kwa sababu AN AUDITOR MUST BE INDIPENDENT!
sasa leo mnasema CAG katoa ripoti tatu?kwa manufaa ya nani?ili iweje?mnajua lengo la auditing n nini? Kufichua au kuficha maovu?
kati ya wizara ya fedha iliochunguzwa na CAG then ripoti halisi kutolewa ( ikumbukwe pspf ipo chini ya wizara hii) na mfuko wenyewe wa pspf ,
ni ripoti gani labda ilibidi iwe ichakachuliwe (kama kweli auditors huwa wanafnya hivyo vitu/uchakachuaji) ?

Huyo CAG wako si ndo alitokeza kwneye vyombo vya habari na filemon luhanjo kumtetea david jairo? Au unafikiri tumesahau?

Independent my azz.
 
Japo ulikuwa na lengo zuri but your post if futile. We need ANSWERS not questions..
 
Back
Top Bottom