Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,371
- 100,421
Weka basi hio siri
Je mnajua kuwa kulikuwa na versions 3 za CAG reports ambazo zote zimefichwa from the public?
Yes Ludovick Utouh either kwa kuambiwa au kwa kusudi ameamua kuwa wasiweke ile ripoti ya mahesabu ya PSPF wazi japo ni pesa za pensheni zinazolipwa na idara zote za serikali.
Sasa policy makers na REAL decision makers washa maliza mchakato wa kuifunga PSPF kwa sababu apart from mambo mengine ni kuwa hakuna justification ya serikali kuendelea kufanya baby sitting ya mfuko huu.
Cha ajabu ni kuwa mpaka actuarial valuation ya huu mfuko ulishawapa picha kamiili kuwa hauna muda and its just a matter of time.
Maswali kwa wana JF:
1. Mnajua kuwa iliundwa taskforce kama iliyoundwa NIC na ilipeka ripoti kwa wahusika? Mnajua kwa nini ile ripoti ilifichwa?
2. Mnajua Actuarial Valuation ya PSPF ilifanywa na nani na alilipwa kiasi gani kwa fedha za madafu? na kigogo gani ali recommend alipwe kiasi hicho?
3. Mnajua kwa nini hiyo valuation report ilifichwa?
4. Mnajua SIRI ya Ludovick Utouh (CAG) kutoa ripoti 3 tofauti?
5. Mnajua kwa nini ile ripoti nyingine imefichwa?
So much so for OPEN GOVERNMENT INITIATIVE...ukweli ni kuwa wale wenye akili zao kule mitaa ya Lithuli na Magogoni washaliona hili dude ni NOT VALUE FOR MONEY & PURPOSE and its just a matter of time habari ya kulivunjwa itatolewa lakini kama kawaida mtapewa majibu ya mkato mkato na yote kwa sababu hao wanaotegemewa kuuliza maswali magumu naya ndani wako bize wakipeana mipasho ya CHADEMA vs CCM ili mpotezwe lengo
Usiku mwema.
Maswali yote uliyouliza sidhani kuna wengi hapa wanaojua majibu yake. Kama unajua majibu tafadhali tumegee.
wana JF wako bize na mipasho ya akina CCM vs CHADEMA
kuna mtu wa kufikiria beyond petty politics za Mwigilu, Lema, Lwakatare na Youtube videos?
Ukumbi mmepewa lakini mko bize kujadiliana na nani ana watu wengi zaidi kwenye mikutano ya hadhara
nini hatima ya wanachama
Maswali yote uliyouliza sidhani kuna wengi hapa wanaojua majibu yake. Kama unajua majibu tafadhali tumegee.
SSRA kupitia mkurugenzi mkuu wake wamewahakikisha wanachama wote kuwa, mafao yao hayataathirika, kwahiyo hakuna cha kuofia hapa.
Bado sijaiona hiyo top secret uliyosema. Hayo yote uliyouliza ni maswali magumu.