Mademu wakimya mnakera mnoo

Huwa najitahidi sana kupiga nae story japo msemaji huwa ni mimi tu..
 
Yaah anapenda sana utani japo huwa anafurahi napokuwa natania watu.. huwa anabaki kucheka tu
 
Sometimes ni vizuri binti kuwa hivyo mda mwingine sio poa

I had a girl kama huyo,kwa nza hana rafiki
Kukuaa kupiga story na mawifi zake wla mtu yeyote zaidi yangu.

Yani mtaani anaonekana anaharau sana,ila nilikuwa naipenda hiyo tabia sana.

Tatizo ni ujeuri tuuu (mtoto wa kimachame).
 
[emoji16]mchukulie ivo ivo tuu,watu tupo tofauti sana.
Hapo kwenye kupigwa mkwara machozi yanatoka tuu yenyewe tuko wengiii.especially if it's not our fault alafu mikwara mingi.
I love you ghafra! Coz napenda wanawake wanaolia nikiwapiga mkwara maake napenda sana utawala wa kibabe japo sijui kupiga.
 
Mchunguze sana huyo. Dem hata awe mkimya vp kwa jamaa yake ipo pointi tu anakua mwongeaji.. La sivyo ana kitu ndani eitha hakupend mkuu
Huwa anaongea kidogo kwenye mambo ya mpira na siasa za ulaya na marekani
 
Huyu wangu ni kauzu mno hana time na mtu.. hata ujipendekeze vipi lazma uta dunda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…