Mademu wakimya mnakera mnoo

Sio fresh kumuacha,siungi mkono hilo swala
 
Mpeleke counseling kwa mauki huyo..... Atakuja kufanya vitu vya ajabu. Si ulisikia ile story ya yule mwalimu au mfanyakazi wa benki waliokuwa wanajisaidia ndani ya vyumba wanavyolala?!

Sampuli zao huwa zinaanza hivi hivi hazieleweki...
 
Mi nlikuwa na kademu hakaongei hivyo hivyo. Siku nzima kimyaa...nakapigisha stori kanacheka tu afu kimya tena...shida akiongea sasa ni utumbo mtupu...nikawa naprefer kumuacha apige kimya tu..
hapana usingefanya hivyo huyo inabidi umfanye ajiskie comfortable kuongea pumba mbele yako, atakuona wa tofauti sana jinsi utavochukulia kawaida hayo mashudu yake kwasababu everybody else is judging her except you. pengine ametembea kwenye mahusiano mawili matatu na ameona kabisa jinsi ex zake walivokua wanamchukulia poa kwasababu ya kuongea mashudu so moyoni anakua anajipromise kabisa next time akipata mwanaume atapunguza kuongea ili asionekane kilaza.
 
ukiongea ni balaa. ukinyamaza ni balaa. macho mkubwa ni balaa .macho mdogo ni balaa. maskio mkubwa ni balaa maskio madogo ni balaa. unahela ni balaa huna hela ni balaa .majameni mnataka nn.????
 
Oh .. wish ningepata huu mtazamo mapema...sema ndo ishakuwa too late..
 
Kama ndivyo alivyoumbwa tangu tumboni huna namna ya kumbadili zaidi ya kuiboresha personality yake.Huo ukimya nao ni fursa pia.Mungu siyo mjinga.
 
Hiyo ni Bahati mkuu shukuru Mungu Aiseee maana cc tulio Oa Clouds Fm ni Shida.
Huyo "Clouds FM"naye ni fursa nzuri tu.Kama hazina ya moyo wake ikijazwa maneno ya Hekima mbona utampenda bure.Shida inakuja pale ambapo hazina ya moyo wake imejazwa mipasho,misuto na uswahili-swahili.Kazi kwako.
 
Wangu mie aibu tu
10yrs in marriage ni aibu aibu aibuuu kwa kwenda mbele
Kwa wageni akisalimia tu anazama chumbani kumchomoa huko unahitaji greda na bludoza
Hahahaaaaa.Aibu kwa mke inazidisha urembo wake na kunogesha haiba yake ya kike.Enjoy ndugu.
 
kuna uwezekano story zako uwa anaziona pumba inambidi tu akae kimya chakufanya jaribu kujifunza vitu vigumu mpaka akione genius apende kujifunza mambo mengi toka kwako
Nasema ivyo kwasababa mke wa jamaa yangu yuko ivyo anaogopwa kichizi mimi nimetokea kupata nae mpaka mshkaji anashangaa Shem story zake ni ngumu mambo so akikutana na mimi mzee waku google mastori anakuwa very interested kupiga stor ukienda na pumba lazima umuone bubu
 
Yaonyesha jamii yetu imejaa wanawake vilaza na wacheza vigodoro
Kwani mie Sion tatizo kwa ukimya wa mtu na Kama anajua vitu vingi si ishu
Ama wanategemea awe kama kina mwajuma ndalandefu kutwa milangon mwa watu?
 
Muulize "kwanini Punda anatoa mlio kila baada ya saa moja?"[emoji1][emoji1][emoji1] Nakuhakikishia mtapiga story siku nzima.

Watu wakimya wanapenda mental challenges sababu maisha yao yako kichwani zaidi kuliko mdomoni, kumtoa kichwani mwambie kitu ambacho kichwa chake hakiwezi kutatua.
 
kuna dada huyo chuo kikuu alikuwa akija kututembelea chumbani tunakimbia maana ni mkimya sana msabato mwenye msimamo mkali yaani akifika huko chumbani wengine wanakimbia mapema wakimuona dirishani anakuja. Maana hujui uongee story zipi muendane. Akifika kakaa basi mwenyewe bado ni kiongozi huko kanisani kwao. watu wakifika hapo kila mtu anatawanyika wakimuona anakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…