hata kasura kako kaupole sana.Unanifahamu hadi basi yani sifa zote zangu hizo...lakini kikosi cha bayern sikijui chote
Atukuoa MwakiredioHiyo ni Bahati mkuu shukuru Mungu Aiseee maana cc tulio Oa Clouds Fm ni Shida.
Tulioa mavuvuzela tunajuta huku ndo maana tunaogopa kurudi nyumbani tunaanzia bar

sikosagi cha kuongea 

Wangu mie aibu tu
10yrs in marriage ni aibu aibu aibuuu kwa kwenda mbele
Kwa wageni akisalimia tu anazama chumbani kumchomoa huko unahitaji greda na bludoza

Sasa huyo ndiyo mzuri oa kabisa.Habari za majukumu wakuu?
Kiukweli mademu wakimya sana wana boa mno.. Una kuta demu mzurii kabisa na elimu yake lakini yupo kama bubu hawezi hata kuchangia maada yoyote katika vikao vya ukoo au familia. Yaani kila kitu mpaka mwanaume aseme, yeye ni kusikiliza tu yaani hachangii chochote mpaka kero..
Back to the main point..
Yaani huyu demu wangu nafikiri ndo rais wa mademu wakimya duniani, nisipo msemesha mimi jua siku hiyo nzima hata ongea.
Mashemeji zake na mawifi zake wote wanamuogopa yaani baada ya salamu tu hana time nao tena.
Mi huwa naongea nae kwa kumuuliza vi maswali vya hapa na pale ndo wakati anajibu hapo ndo tunapiga story hivo.. Sasa inafika wakati na mimi maswali ya kumuuliza yanaisha tunabaki tunatazamana tu.
Tuna miaka mitatu kwenye mahusiano ila yupo vile vile tu.. Nilipo jaribu kumuuliza kuhusu ukimya wake akasema ndivo alivo tuNi mtu anae penda sana kujifunza vitu vingi, akimaliza kazi zake anaenda kwenye tv kufatilia BBC na CNN news pia ni shabiki mzurii wa mpira wa miguu anaweza taja hata kikosi kizima cha buyern munchen..
Watu wanamuogopa mnoo hata wageni hawaji siku akiwepo home.. Yaani hata ushoboke vipi hana time na wewe.Ni mzurii sana wa sura na umbo na elimu nzuri anayo shida ipo hapo kwenye ukimya ulio pitiliza..Alafu yupo emotional sana, yaani nikimtia mkwara kidogo tu atashinda analia siku hiyo..
Kweli "too much of any thing is harmful"
Simaanishi napenda mademu wanaoongea kama chiriku.. Kila
kitu kiwe cha wastani
Location: dodoma
Mkuu una moyo.. Mimi nilikua na wa namna hiyo ila miezi 6 nikanawa mikono...
Mtu hacheki, akicheka anaonesha tuu meno ya mbele au utasikia 'mmh' hapo kamaliza.. Wageni wakija kama sipo hua hawakai, kwa wageni ana sentensi zake tatu 'karibuni sana' 'niwahudumie nini' na 'karibu tena' hapo kamaliza,ataendelea na shughuli zake..
Unaweza toka nae Dar hadi Kigoma akakuongelesha sentensi tatu tuu.. Nikawa naenda nae kwenye vibanda umiza kuangalia nae mpira ili kumchangamsha wapi, kwenye vijiwe vya drafti wapi, nunua kila aina ya muvi za vichekesho ila hola!
Nikamkazia siku tatu sianzishi mazungumzo namtegea yeye aanzishe nikaishia kunuka mdomo tuu.. Kuuliza ndugu zake kuhusu huo ukimya wake, wananiambia tangu amekua na mimi kabadilika sana anachangamka tofauti na huko nyuma, eboooh!!
Mwisho wa siku nikaona hii ni special case, nikanyoosha mikono juu...

Hiyo ni Bahati mkuu shukuru Mungu Aiseee maana cc tulio Oa Clouds Fm ni Shida.

lmaoo

Wee jonnah sio mkimya hata kidogo
Ana mbwe tu humu, kiuhalisia hamna kitu.Wee jonnah sio mkimya hata kidogo
Binadamu bwana sijui Mungu atupe nini suraanayo shepu lipo iyondo kasoro yake broo ata wewe sidhani kama utakuwa sawa kila sehemuHabari za majukumu wakuu?