Mademu wakimya mnakera mnoo

Basi kwa Uzi huu wengi watajifanya ni wa pole ili wapate sifa. Kozi ulosoma ndio inakufanya ujuwe kuongea. Eti demu kasoma mathematics utegemee aongee nini? Sasa mtu kasoma history na language si lazima ajue kuongea na kujieleza.
Sio vizuri kuongea kupitiliza na kuongea pointless.

team charming tujuane.😂😂😂😂binafsi kumzoea mtu ni rahisi sana,coz napenda kuuliza na kuelewa, pia napenda kupiga story.

Nikikaa na mtu mkimya nikitoka tu lazima animis tu.
 
Watu wanamuogopa yaani hana shobo na mtu kabisa yeye yupo busy na mambo yake tu
Wewe pia wamwogopa that's y umekuja andika mtandaoni badala ya kujadil naye.

I guess kuna vitu anakuzid Kama:
Mosi;elimu
Pili;fedha ama uwezo wa kiuchumi
Tatu;upeo wa Mambo in general
Hivi vinakuletea inferiority complex in ur relationship

Solution mface mlidiscuss hili,ukishindwa mwache mapema usimpotezee muda cause kwa comments na majibu yako yaonyesha hujiamini ukiwa naye na hamtofika mbali,hata ukimwoa hutaweza mface akikosea ama ukitaka mjadil progress ya family yenu utaishia kumteta kwa ndugu zako ama majiran tu na hiyo siyo nzuri kwa afya ya mahusiano.
 
Huna jema wewe, badala ya kumshukuru mungu kukupa hicho, bize unalalamika. Ulitaka awe anaongea sana kwani ni ajira? Jambo la muhimu anatimiza majukumu yake kama mwanamke, anajitambua na kujiheshimu, akikupa unashiba na si mgawaji kwa shemeji zake. Mengine ni ziada tu.
 
Location Dodoma !inauhusiano gani hapa mkuu!
 
Kuna kipindi inatakiwa mnapiga story na mpenzi wako.. Sasa yeye ni kusikiliza na kucheka tu basiii
 
Najiamini sana tu na kielimu tupo sawa japo tumesoma fani tofauti tofauti.. na kuhusu hili jambo nimeongea nae sana tu
 
Aisee na mimi nilivyo mkimya nadhani tungeendana sana. Naomba tubadilishane mkuu.
Mtahitaji redio nyingi ndani pamoja na tv kila chumba ili kuchangamsha nyumba 🤣🤣🤣🤣🤣 vinginevyo mtakaribisha majini ndani maana nyumba imetulia mno.
 
[emoji1787][emoji1787] huyo ni Mimi kabisa..unaweza kuambiwa unaringa
Yani yna2 una aibu namna hio? Aisee kuna demu nilimuacha kwa sababu ya aibu za kijinga, it was too much for me. Imagine nishamkaza mara kadhaa ila kila tukifika eneo la tukio anaficha uso mara tuzime taa aargh. Halafu wanawake wenye aibu mpo too emotional, yani kwa ulalamishi hamna upinzani.

Nilichoka mapema mno na huo upumbavu kabisa nikaona hamna namna ni kutafta sababu ya kupiga chini tu. Mwanamke hata mkitembea kushikwa mkono anaona aibu waiii😂😂😂
 
Kwa hiyo unafanyaje mkuu.
Nimeamua kugida IMAGI tu mpaka mida ambayo KAPUNI,HUBA na KITIMTIM zinapokuwa zimeshaisha ndio naelekea kulaza ubavu maana kama kuongea na makofi nishacharaza sana mwishowe nikahisi jela inaniita nikaamua kuacha sikio la kufa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 mi menyewe nshakumiss rudi kwenye uzi tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…