Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa! | Page 42 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Jul 11, 2013.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2013
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  masogange-mbwembwe.png Hatuwezi kuendelea kukaa kimya. Taifa letu linaaibika vibaya sana.

  Wahusika wanajulikana. Wametajwa mara nyingi na mbinu wanazozifanya kwa kutumia wasanii wa kizazi kipya na waigizaji almaarufu kama 'Bongo Movie'.  Inaudhi, inakera na inatuongezea chuki sana kwa serikali iliyo madarakani. Kaeni kimya na endeleeni kulichafua taifa, kuna siku mtatueleza yote. Au kwakuwa wahusika ni wanenu? Au kwakuwa wakuu wa juu ni wale waliowawezesha kuingia madarakani kisiasa?

  Ndugu zangu, hii ni aibu kubwa kwa Taifa. Inasikitisha sana na inazidi kutuaibisha wengine tunaosafiri ng'ambo. Taifa kama halina rais, taifa kama halina Vyombo vya Dola. Ni upumbavu, ni ufedhuli na mtambue sasa tumechoka. Sasa, tunaanza kuziweka habari za kila anayekamatwa na madawa hadharani, tunaanza kuweka hadi wanaowatuma. Tutawafikia mapapa wote!

  Mambo haya mlimchomekea mtoto wa Mengi, mambo haya mnawachomekea wanyonge wenye njaa kali na hadi mmeua vijana wetu kwa kuwabebesha mizigo michafu hivi!

  Kwa ambao hamjasoma habari hii ya aibu, someni hapa:

  Someni zaidi hapa Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa


  USHAURI KWA VIJANA WA KITANZANIA:
  *************************************

  Habari zaidi ndani ya JF:

  *************************************
  - CHADEMA yatoa tamko baada ya Mbowe kutajwa katika listi ya Makonda

  - Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...
  - News Alert: - Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee
  - Mbunge wa Kinondoni umefeli kupambana na Madawa ya kulevya!
  - Tuseme: Makonda, Haya hapa Majina ya Wauzaji Madawa ya Kulevya wakubwa
  - MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na waandishi wa habari

  - Updates: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi
  - DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii
  - Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

  - Biashara ya Madawa ya Kulevya Tanzania: Who is Pulling the Strings? [September, 2010]
  - Madawa ya Kulevya Tanzania, Serikali Yetu Hamyaoni Yanatumaliza? [March, 2011]
  - Madawa ya kulevya: Rais Kikwete akutana na mawaziri, wakuu wa mahakama na polisi [2013]
  - Kuficha watuhumiwa wa madawa ya kulevya... Wananchi, tufanye nini? [July, 2011]
  - Madawa ya Kulevya - Aina na Athari zake kwa Mtumiaji [February, 2012]

  - Dawa za kulevya: Watanzania watatu wakamatwa India, mmoja afariki
  - Mafia wa Italia na mihadarati Tanzania [December, 2012]
  - Mihadarati (Madawa ya Kulevya) yaivuruga CCM! [November, 2006]
  - Wajumbe Baraza la Wawakilishi Zanzibar watuhumiana kuhusika na Mihadarati (Madawa ya Kulevya) [June, 2011]

  - Serikali kuanika vigogo wa Madawa ya Kulevya bungeni [July, 2011]
  - Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha...
  - Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya Chicago, U.S.A.

  - Mtanzania akutwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa Marekani-Texas tumboni kwake
  - Rais Obama amtaja mfanyabiashara wa madawa ya kulevya mwanamke wa kitanzania aishie Mbezi
  - Polisi wamnasa muuza dawa za kulevya wa kimataifa aitwaye Leila...
  - Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

  - Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
  - Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!
  - Kangi Lugola, mbunge CCM atuhumu Mawaziri ni wauza mihadarati! Serikali yawatetea, awekwa kitanzini!
  - Mtandao wa uhalifu Polisi... Wahusishwa na mauaji, biashara ya mihadarati na ulaji rushwa!

  - Mfanyabiashara jamaa ya Mbunge akamatwa na Shehena ya Madawa ya Kulevya
  - Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!
  - Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Bil 9 Tsh

  - Wapakistan waliokamatwa na madawa ya kulevya ya billion 6 waachiwa kwa dhamana!
  - Picha: Msichana wa KITANZANIA aliyekamatwa na Unga EGYPT kunyongwa...
  - Madawa ya Kulevya: Mabondia wa Tanzania wafungwa miaka 15 nchini Mauritius!

  - Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa
  - Watanzania wawili wakamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong
  - Binti ashikwa na Madawa ya Kulevya JNIA; Polisi wa usalama waomba Rushwa wakataliwa...
  - Mtanzania afungwa jela miaka 15 Zimbabwe kwa kukutwa na madawa ya kulevya

  - Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!
  - Kilumbe Ng'enda: Mbunge Azzan Anahusika na Biashara ya Dawa za Kulevya

  - Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya US
  - Mapapa wa madawa ya kulevya watajwa, wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz
  - Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

  - Mtambo wa Dawa za kulevya waingizwa nchini, upo Mbezi Beach!
  - Serikali sasa kuanzisha mahakama ya madawa ya kulevya...!!
  - Madawa ya Kulevya: Mashine mpya zafungwa JKIA
  - Bungeni Live: Hoja juu ya Madawa ya Kulevya
  - CHADEMA watoa tamko kuhusu madawa ya kulevya
  - Vita dhidi ya madawa ya kulevya: Waziri akiri wauza unga kuifadhili CCM, Nzowa aizamisha Jambo leo
  - Sakata la madawa ya kulevya: Kamanda wa polisi viwanja vya ndege ahamishwa
  - Sakata la madawa ya kulevya: Viongozi wachunguzwa na kuhojiwa
  - Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib
  - Mtanzania adakwa na mihadarati China
  - Mtanzania akamatwa akiwa na Madawa ya Kulevya United Arab Emirates (UAE)

  - Mshambuliaji wa zamani wa Simba akamatwa na madawa ya kulevya...
  - Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain
  - Madawa ya Kulevya: Matumla na Kaniki wakamatwa!

  - Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya Dubai amlaumu mumewe
  - Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yazua kizaazaa nchini Italia!
  - Ripoti UN: Tanzania kinara dawa za kulevya
  - Uchochoro wa kuvusha dawa za kulevya Dar huu hapa
  - Baadhi ya njia zinazotumika kupitisha madawa ya kulevya uwanja wa ndege JKNIA
  - Madawa ya kulevya: Mtanzania afia Dubai, wengine wadaiwa kukamatwa China na Brazil
  - Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) naye akamatwa Brazil
  - Mwanajeshi Rashid Mohamed akamatwa na mirungi kilo 20 huko Tanga
   
 2. Nokia83

  Nokia83 JF-Expert Member

  #821
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 16, 2014
  Messages: 16,349
  Likes Received: 20,543
  Trophy Points: 280
  Naww una taarifa nying
   
 3. NALIA NGWENA

  NALIA NGWENA JF-Expert Member

  #822
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 6, 2016
  Messages: 1,452
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Haya sasa mwema kweli kasema
   
 4. Castr

  Castr JF-Expert Member

  #823
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 5, 2014
  Messages: 6,605
  Likes Received: 10,932
  Trophy Points: 280
  Post ya muda hiyo kama hatua zingekua zimeshachukuliwa.
   
 5. mmh

  mmh JF-Expert Member

  #824
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 852
  Likes Received: 652
  Trophy Points: 180
  Kinje yupi
   
 6. Muwindaji

  Muwindaji JF-Expert Member

  #825
  Jan 10, 2017
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 245
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Kinje mtoto Wa Yule kada maarufu aliyehamia chama kikubwa cha upinzani.
   
 7. mtana76

  mtana76 JF-Expert Member

  #826
  Jan 10, 2017
  Joined: May 31, 2015
  Messages: 474
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 60
  Biashara hiyo ni nzito sana , na cheni yake kubwa sana Duniani , watu wanauliwa kwa ukimbelembele wengi sana Duniani kwa kuwafuatilia wahusika wa biashara ya Unga (MADAWA) huyo Mange ni papasi tuu fulani .,Sifa mbaya sana, na mwanadamu uwezi kushiba sifa kama unavyoshiba sahani ya wali maharage,. Aache vyombo vihusika vifanye kazi,sio yeye kutaja watu bila ushahidi wowote, au kama yupo na ushahidi apeleke kwenye vyombo husika vichukue hatua. Mtamsifia oohoo Mange aogopi ohoo Mange sijui hivi. Sifa zitamponza huyo Dada . Mkono wa wauza Madawa Duniani ni mkubwa sana. Atapotezwa Duniani mkakosa huo udaku daku wake.
   
 8. J

  Joto Balaa JF-Expert Member

  #827
  Jan 10, 2017
  Joined: Sep 14, 2016
  Messages: 1,120
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Huo mtandao kama unaujua utaje basi vinginevyo achana na porojo.
   
 9. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #828
  Jan 10, 2017
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 25,897
  Likes Received: 24,236
  Trophy Points: 280
  Naona Lulu anatakata kwa pesa ya sembe,sio mchezo.
   
 10. Nokia83

  Nokia83 JF-Expert Member

  #829
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 16, 2014
  Messages: 16,349
  Likes Received: 20,543
  Trophy Points: 280
  Sema naww hujakutana na mrija wa pesa za unga
   
 11. accused

  accused JF-Expert Member

  #830
  Jan 10, 2017
  Joined: Aug 7, 2015
  Messages: 2,472
  Likes Received: 2,571
  Trophy Points: 280
  Acha wivu wewe Binti, una hakika gani ktk hili? Lulu alitakata tangia kuzaliwa kwake..
   
 12. mtana76

  mtana76 JF-Expert Member

  #831
  Jan 10, 2017
  Joined: May 31, 2015
  Messages: 474
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 60
  Acha U Mange wewe Joto Balaa..nitaje hapa kwani JF ni chombo cha Dola ??
   
 13. kobokocastory

  kobokocastory JF-Expert Member

  #832
  Jan 10, 2017
  Joined: Aug 30, 2014
  Messages: 1,016
  Likes Received: 1,095
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha marehemu Amina Chifupa alikuja namna hii ila yeye akaenda a step further kwa kuingia mtaana, kukutana na mateja hadi chimbo zao na mwisho akaja na list moja mzuri sana hata Baba rizi aliwahi kukiri mara kadhaa kupokea na kusema anayo orodha kamili ya wanaouza hiyo makitu ila ndio kama hivyo hadi leo kimya~kimya (R.I.P Ngwair) Amina Chifupa na bidii yake yote tunajua kilichomkuta walifanya yao leo hii ni mwaka wa 9 anapumzika kwa amani. Vita ya madawa ya kulevya ni vita ngumu. Mtandao ni mkubwa. Baba rizi hadi anakabidhi kiti akuwahi kuwataja wala kuwafikisha kwenye mikono ya sheria despite kuwa na majina hadi leo hii
   
 14. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #833
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 25,897
  Likes Received: 24,236
  Trophy Points: 280
  Acha kuropoka usiyoyajua.
   
 15. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #834
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 25,897
  Likes Received: 24,236
  Trophy Points: 280
  Labda sio Lulu ninayemjua mimi.
   
 16. accused

  accused JF-Expert Member

  #835
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 7, 2015
  Messages: 2,472
  Likes Received: 2,571
  Trophy Points: 280
  Acha hizo dadangu...
  Work hard tafuta pesa, haina haja ya wivu kwa waliotusua. Forget abt histry !
   
 17. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #836
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,759
  Trophy Points: 280
  Mbona mateja ndo wanazidi ?
   
 18. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #837
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 25,897
  Likes Received: 24,236
  Trophy Points: 280
  Mbona unalia na wivu sana?Mimi kusema Lulu anatakata kwa pesa za sembe ndio wivu?
   
 19. Nokia83

  Nokia83 JF-Expert Member

  #838
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 16, 2014
  Messages: 16,349
  Likes Received: 20,543
  Trophy Points: 280
  Alikwambia anatakata kwa pesa ya unga?
   
 20. franktemu123

  franktemu123 JF-Expert Member

  #839
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 80
  Acheni kumshirikisha shishii kwenye mambo yenu.
   
 21. accused

  accused JF-Expert Member

  #840
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 7, 2015
  Messages: 2,472
  Likes Received: 2,571
  Trophy Points: 280
  Life has no formula, under the sun only changes remains permanent. Forget abt naemjua
   
Loading...