Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Jul 11, 2013.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2013
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 947
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  masogange-mbwembwe.png Hatuwezi kuendelea kukaa kimya. Taifa letu linaaibika vibaya sana.

  Wahusika wanajulikana. Wametajwa mara nyingi na mbinu wanazozifanya kwa kutumia wasanii wa kizazi kipya na waigizaji almaarufu kama 'Bongo Movie'.  Inaudhi, inakera na inatuongezea chuki sana kwa serikali iliyo madarakani. Kaeni kimya na endeleeni kulichafua taifa, kuna siku mtatueleza yote. Au kwakuwa wahusika ni wanenu? Au kwakuwa wakuu wa juu ni wale waliowawezesha kuingia madarakani kisiasa?

  Ndugu zangu, hii ni aibu kubwa kwa Taifa. Inasikitisha sana na inazidi kutuaibisha wengine tunaosafiri ng'ambo. Taifa kama halina rais, taifa kama halina Vyombo vya Dola. Ni upumbavu, ni ufedhuli na mtambue sasa tumechoka. Sasa, tunaanza kuziweka habari za kila anayekamatwa na madawa hadharani, tunaanza kuweka hadi wanaowatuma. Tutawafikia mapapa wote!

  Mambo haya mlimchomekea mtoto wa Mengi, mambo haya mnawachomekea wanyonge wenye njaa kali na hadi mmeua vijana wetu kwa kuwabebesha mizigo michafu hivi!

  Kwa ambao hamjasoma habari hii ya aibu, someni hapa:

  Someni zaidi hapa Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa


  USHAURI KWA VIJANA WA KITANZANIA:
  *************************************

  Habari zaidi ndani ya JF:

  *************************************
  - Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

  - Biashara ya Madawa ya Kulevya Tanzania: Who is Pulling the Strings? [September, 2010]
  - Madawa ya Kulevya Tanzania, Serikali Yetu Hamyaoni Yanatumaliza? [March, 2011]
  - Kuficha watuhumiwa wa madawa ya kulevya... Wananchi, tufanye nini? [July, 2011]
  - Madawa ya Kulevya - Aina na Athari zake kwa Mtumiaji [February, 2012]

  - Mafia wa Italia na mihadarati Tanzania [December, 2012]
  - Mihadarati (Madawa ya Kulevya) yaivuruga CCM! [November, 2006]
  - Wajumbe Baraza la Wawakilishi Zanzibar watuhumiana kuhusika na Mihadarati (Madawa ya Kulevya) [June, 2011]

  - Serikali kuanika vigogo wa Madawa ya Kulevya bungeni [July, 2011]
  - Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha...
  - Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya Chicago, U.S.A.

  - Mtanzania akutwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa Marekani-Texas tumboni kwake
  - Rais Obama amtaja mfanyabiashara wa madawa ya kulevya mwanamke wa kitanzania aishie Mbezi
  - Polisi wamnasa muuza dawa za kulevya wa kimataifa aitwaye Leila...
  - Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

  - Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
  - Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!
  - Kangi Lugola, mbunge CCM atuhumu Mawaziri ni wauza mihadarati! Serikali yawatetea, awekwa kitanzini!
  - Mtandao wa uhalifu Polisi... Wahusishwa na mauaji, biashara ya mihadarati na ulaji rushwa!

  - Mfanyabiashara jamaa ya Mbunge akamatwa na Shehena ya Madawa ya Kulevya
  - Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!
  - Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Bil 9 Tsh

  - Wapakistan waliokamatwa na madawa ya kulevya ya billion 6 waachiwa kwa dhamana!
  - Picha: Msichana wa KITANZANIA aliyekamatwa na Unga EGYPT kunyongwa...
  - Madawa ya Kulevya: Mabondia wa Tanzania wafungwa miaka 15 nchini Mauritius!

  - Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa
  - Watanzania wawili wakamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong
  - Binti ashikwa na Madawa ya Kulevya JNIA; Polisi wa usalama waomba Rushwa wakataliwa...
  - Mtanzania afungwa jela miaka 15 Zimbabwe kwa kukutwa na madawa ya kulevya

  - Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!
  - Kilumbe Ng'enda: Mbunge Azzan Anahusika na Biashara ya Dawa za Kulevya

  - Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya US
  - Mapapa wa madawa ya kulevya watajwa, wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz
  - Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

  - Mtambo wa Dawa za kulevya waingizwa nchini, upo Mbezi Beach!
  - Serikali sasa kuanzisha mahakama ya madawa ya kulevya...!!
  - Madawa ya Kulevya: Mashine mpya zafungwa JKIA
  - Bungeni Live: Hoja juu ya Madawa ya Kulevya
  - CHADEMA watoa tamko kuhusu madawa ya kulevya
  - Vita dhidi ya madawa ya kulevya: Waziri akiri wauza unga kuifadhili CCM, Nzowa aizamisha Jambo leo
  - Sakata la madawa ya kulevya: Kamanda wa polisi viwanja vya ndege ahamishwa
  - Sakata la madawa ya kulevya: Viongozi wachunguzwa na kuhojiwa
  - Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib
  - Mtanzania adakwa na mihadarati China
  - Mtanzania akamatwa akiwa na Madawa ya Kulevya United Arab Emirates (UAE)

  - Mshambuliaji wa zamani wa Simba akamatwa na madawa ya kulevya...
  - Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain
  - Madawa ya Kulevya: Matumla na Kaniki wakamatwa!

  - Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya Dubai amlaumu mumewe
  - Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yazua kizaazaa nchini Italia!
  - Ripoti UN: Tanzania kinara dawa za kulevya
  - Uchochoro wa kuvusha dawa za kulevya Dar huu hapa
  - Baadhi ya njia zinazotumika kupitisha madawa ya kulevya uwanja wa ndege JKNIA
  - Madawa ya kulevya: Mtanzania afia Dubai, wengine wadaiwa kukamatwa China na Brazil
  - Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) naye akamatwa Brazil
   
 2. joseph leonidace

  joseph leonidace JF-Expert Member

  #781
  Jan 9, 2017
  Joined: Apr 2, 2015
  Messages: 314
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 60
  mkuu huwezi kuwapata kiraisi raisi wako very secret hivyo ni inshu ni kukamata mmoja mmoja mpaka tutamfikia muingizaji ambaye ni waziri mkubwa tyu naimani anajulikana
   
 3. choupa moting

  choupa moting Member

  #782
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 27, 2016
  Messages: 40
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 25
  Lakin hata hili pia halikuwepo kwenye ilani.
   
 4. joseph leonidace

  joseph leonidace JF-Expert Member

  #783
  Jan 9, 2017
  Joined: Apr 2, 2015
  Messages: 314
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 60
  ha ha ha ha
   
 5. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #784
  Jan 9, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 34,715
  Likes Received: 10,077
  Trophy Points: 280
  Thubutu !

  Si uliona JK alivyokuwa anahangaika na Teja Ray C , ulisikia akihangaika na wanaingiza na kuuza ?
   
 6. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #785
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,271
  Likes Received: 687
  Trophy Points: 280
  Madawa ya kulevya ni aibu ya rais mstaafu JK.
   
 7. WhySoSerious

  WhySoSerious JF-Expert Member

  #786
  Jan 9, 2017
  Joined: Nov 19, 2015
  Messages: 311
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  That will be ''treating symptoms'',, without addressing and treating the root cause, we`ll reach nowhere. Hata tukisema tuwatie ndani hawa final users, swali ni je tutawatia wangap? je tukiwatia ndani na huku nje ndo itakua tumemaliza vita hii? . Narcotics is an international dilemma.
   
 8. J

  John Mmari Member

  #787
  Jan 9, 2017
  Joined: Dec 31, 2016
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Je ukiwa na mzigo na hakuna wateja utaendelea tena na biashara?Kamata mateja wote fugauwa gereza la wala unga tuone hao wauzaji watamuuzia nani
   
 9. M

  MLAU JF-Expert Member

  #788
  Jan 9, 2017
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 1,420
  Likes Received: 869
  Trophy Points: 280
  Hujui maana ya addiction, madamu umepata pa kuongea basi unafikiri unaweza kusema lolote lile na likawa sawa.

  MTU anayetumia dawa ya kulevya ana akafikia stage ya kuwa addicted ambayo ni stage ya 4 huwezi kumkamata na kumweka ndani ukasema ndiyo suluhu.no no no.!!!

  Kumtibu MTU ambaye amefika stage ya addiction kuna taratibu zake.wataalam wa afya wanazijua.
   
 10. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #789
  Jan 9, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 8,040
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa wewe ndio unatoa Order kwa Raisi?
   
 11. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #790
  Jan 9, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 8,040
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  Yule Diwani mhindi wa Mbaga atapona kweli na muwekezaji wa viwanda na timu kandambili
   
 12. Rebeca 83

  Rebeca 83 JF-Expert Member

  #791
  Jan 9, 2017
  Joined: Jun 4, 2016
  Messages: 1,260
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona sasa ulisema eti mpaka atake kuacha madawa,au unadhania sijakumark?lol
   
 13. kisu cha ngariba

  kisu cha ngariba JF-Expert Member

  #792
  Jan 9, 2017
  Joined: Jun 21, 2016
  Messages: 7,469
  Likes Received: 9,245
  Trophy Points: 280
  Hii vita hawaiwezi,ni sawa na kukata tawi ulilokalia.
   
 14. Rebeca 83

  Rebeca 83 JF-Expert Member

  #793
  Jan 9, 2017
  Joined: Jun 4, 2016
  Messages: 1,260
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  ni kweli,ila sio tuache tu mambo yaende sivyo,kisa vita hatuiwezi.
   
 15. M

  MLAU JF-Expert Member

  #794
  Jan 9, 2017
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 1,420
  Likes Received: 869
  Trophy Points: 280
  Soma mada uelewe usidakie tu.mada yako na yake ni vitu tofauti.

  Huyu anaelezea Magufuli akamate aweke watu ndani.....custody sio suluhu ya tatizo.

  Na wewe unafikiri unafikiri unaweza kusaidia MTU ambaye yuko addicted kisa tu anadhalilika ktk media kama yeye mwenyewe hajaamua.you will never succeed.

  Na hapa nimeeleza kidogo kuhusu Huduma za MTU ambaye ni addicted kwa watu wa afya wana taratibu zao.

  Mada zinatofutiana.
   
 16. Rebeca 83

  Rebeca 83 JF-Expert Member

  #795
  Jan 9, 2017
  Joined: Jun 4, 2016
  Messages: 1,260
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  wewe jikanyage,deepdown unajua ninaloliongea,

  simply mtu aliye addicted,hawezi 'kuamua'

  period.
   
 17. M

  MLAU JF-Expert Member

  #796
  Jan 9, 2017
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 1,420
  Likes Received: 869
  Trophy Points: 280
  Narudia tena addicted person yoyote asipoamua yeye kuchange wewe hautafanya kitu chochote kumbadili na ukifanya itakuwa ni drama tu kwa mtumiaji wa madawa ya kulevya..atarudi kule kule tu kuendelea kutumia.

  Mabadiliko ya kweli yanatoka kwa mtumiaji mwenyewe kuamua sasa kuacha tofauti na hivyo ni kumpigia mbuzi gitaa tu!!
   
 18. Rebeca 83

  Rebeca 83 JF-Expert Member

  #797
  Jan 9, 2017
  Joined: Jun 4, 2016
  Messages: 1,260
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  utarudia mara mia,nenda kajiongeze tena kama ulivyojiongeza,it cost you nothing!
   
 19. M

  MLAU JF-Expert Member

  #798
  Jan 9, 2017
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 1,420
  Likes Received: 869
  Trophy Points: 280
  Natamani sana ningekuunganisha na watumia madawa ya kulevya tena wale addicted na walioacha li upate picha kamili nadhani unawaona tu kwa mbali ndiyo ungefahamu nasema nini.
   
 20. Heroine CA

  Heroine CA Senior Member

  #799
  Jan 9, 2017
  Joined: Jan 2, 2017
  Messages: 123
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Kwa mfano kama anayerahisisha biashara hizo ni police, unaonaje ukubwa wa hili tatizo? Hivi ambulances zote tunazopisha foleni ya Dar huwa zimebeba wagonjwa kweli? Hasa lile kubwa kuliko yote. Huu mchezo ni wa hatari lakini anayeuza ndiye anatakiwa azuie. Nenda bahari ya pangani uone boti zinavyoingia usiku na mizigo. Hii ni biological/chemical weapons. Killing softly. Anayeanza kutumia hawezi kutoka! Hawezi.
   
 21. wakusoma

  wakusoma JF-Expert Member

  #800
  Jan 10, 2017
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 652
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Wakuu,

  Ili kuweka mambo sawa na kujaribu kuisaidia serikali yetu kupambana na wauza unga basi nashauri tuwataje mapusha (wauza unga wa kupima) wote ambao tunawajua pengine wapo mtaani kwetu tunapoishi au kijiwe chochote cha mtaani kwako ambacho unahisi poda inauzwa ili tuwaumbue wakamatwe.

  Kwa kuanzia tu mimi naanza naanza na Mwenge Bamaga, karibu na Sibuka FM kuna maskani nje kuna bendera ya chama wanakaa sana nje pale majanki wana magari yao wanatia story 24/7 ila biashara kubwa pale no unga wa kupima.Taja na wewe mtaani kwako kama kuna pusha yeyote anaeharibu vijana wetu.
   
Loading...