Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa! | Page 41 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Jul 11, 2013.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2013
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  masogange-mbwembwe.png Hatuwezi kuendelea kukaa kimya. Taifa letu linaaibika vibaya sana.

  Wahusika wanajulikana. Wametajwa mara nyingi na mbinu wanazozifanya kwa kutumia wasanii wa kizazi kipya na waigizaji almaarufu kama 'Bongo Movie'.  Inaudhi, inakera na inatuongezea chuki sana kwa serikali iliyo madarakani. Kaeni kimya na endeleeni kulichafua taifa, kuna siku mtatueleza yote. Au kwakuwa wahusika ni wanenu? Au kwakuwa wakuu wa juu ni wale waliowawezesha kuingia madarakani kisiasa?

  Ndugu zangu, hii ni aibu kubwa kwa Taifa. Inasikitisha sana na inazidi kutuaibisha wengine tunaosafiri ng'ambo. Taifa kama halina rais, taifa kama halina Vyombo vya Dola. Ni upumbavu, ni ufedhuli na mtambue sasa tumechoka. Sasa, tunaanza kuziweka habari za kila anayekamatwa na madawa hadharani, tunaanza kuweka hadi wanaowatuma. Tutawafikia mapapa wote!

  Mambo haya mlimchomekea mtoto wa Mengi, mambo haya mnawachomekea wanyonge wenye njaa kali na hadi mmeua vijana wetu kwa kuwabebesha mizigo michafu hivi!

  Kwa ambao hamjasoma habari hii ya aibu, someni hapa:

  Someni zaidi hapa Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa


  USHAURI KWA VIJANA WA KITANZANIA:
  *************************************

  Habari zaidi ndani ya JF:

  *************************************
  - CHADEMA yatoa tamko baada ya Mbowe kutajwa katika listi ya Makonda

  - Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...
  - News Alert: - Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee
  - Mbunge wa Kinondoni umefeli kupambana na Madawa ya kulevya!
  - Tuseme: Makonda, Haya hapa Majina ya Wauzaji Madawa ya Kulevya wakubwa
  - MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na waandishi wa habari

  - Updates: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi
  - DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii
  - Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

  - Biashara ya Madawa ya Kulevya Tanzania: Who is Pulling the Strings? [September, 2010]
  - Madawa ya Kulevya Tanzania, Serikali Yetu Hamyaoni Yanatumaliza? [March, 2011]
  - Madawa ya kulevya: Rais Kikwete akutana na mawaziri, wakuu wa mahakama na polisi [2013]
  - Kuficha watuhumiwa wa madawa ya kulevya... Wananchi, tufanye nini? [July, 2011]
  - Madawa ya Kulevya - Aina na Athari zake kwa Mtumiaji [February, 2012]

  - Dawa za kulevya: Watanzania watatu wakamatwa India, mmoja afariki
  - Mafia wa Italia na mihadarati Tanzania [December, 2012]
  - Mihadarati (Madawa ya Kulevya) yaivuruga CCM! [November, 2006]
  - Wajumbe Baraza la Wawakilishi Zanzibar watuhumiana kuhusika na Mihadarati (Madawa ya Kulevya) [June, 2011]

  - Serikali kuanika vigogo wa Madawa ya Kulevya bungeni [July, 2011]
  - Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha...
  - Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya Chicago, U.S.A.

  - Mtanzania akutwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa Marekani-Texas tumboni kwake
  - Rais Obama amtaja mfanyabiashara wa madawa ya kulevya mwanamke wa kitanzania aishie Mbezi
  - Polisi wamnasa muuza dawa za kulevya wa kimataifa aitwaye Leila...
  - Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

  - Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!
  - Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!
  - Kangi Lugola, mbunge CCM atuhumu Mawaziri ni wauza mihadarati! Serikali yawatetea, awekwa kitanzini!
  - Mtandao wa uhalifu Polisi... Wahusishwa na mauaji, biashara ya mihadarati na ulaji rushwa!

  - Mfanyabiashara jamaa ya Mbunge akamatwa na Shehena ya Madawa ya Kulevya
  - Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!
  - Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Bil 9 Tsh

  - Wapakistan waliokamatwa na madawa ya kulevya ya billion 6 waachiwa kwa dhamana!
  - Picha: Msichana wa KITANZANIA aliyekamatwa na Unga EGYPT kunyongwa...
  - Madawa ya Kulevya: Mabondia wa Tanzania wafungwa miaka 15 nchini Mauritius!

  - Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa
  - Watanzania wawili wakamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong
  - Binti ashikwa na Madawa ya Kulevya JNIA; Polisi wa usalama waomba Rushwa wakataliwa...
  - Mtanzania afungwa jela miaka 15 Zimbabwe kwa kukutwa na madawa ya kulevya

  - Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!
  - Kilumbe Ng'enda: Mbunge Azzan Anahusika na Biashara ya Dawa za Kulevya

  - Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya US
  - Mapapa wa madawa ya kulevya watajwa, wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz
  - Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

  - Mtambo wa Dawa za kulevya waingizwa nchini, upo Mbezi Beach!
  - Serikali sasa kuanzisha mahakama ya madawa ya kulevya...!!
  - Madawa ya Kulevya: Mashine mpya zafungwa JKIA
  - Bungeni Live: Hoja juu ya Madawa ya Kulevya
  - CHADEMA watoa tamko kuhusu madawa ya kulevya
  - Vita dhidi ya madawa ya kulevya: Waziri akiri wauza unga kuifadhili CCM, Nzowa aizamisha Jambo leo
  - Sakata la madawa ya kulevya: Kamanda wa polisi viwanja vya ndege ahamishwa
  - Sakata la madawa ya kulevya: Viongozi wachunguzwa na kuhojiwa
  - Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib
  - Mtanzania adakwa na mihadarati China
  - Mtanzania akamatwa akiwa na Madawa ya Kulevya United Arab Emirates (UAE)

  - Mshambuliaji wa zamani wa Simba akamatwa na madawa ya kulevya...
  - Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain
  - Madawa ya Kulevya: Matumla na Kaniki wakamatwa!

  - Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya Dubai amlaumu mumewe
  - Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yazua kizaazaa nchini Italia!
  - Ripoti UN: Tanzania kinara dawa za kulevya
  - Uchochoro wa kuvusha dawa za kulevya Dar huu hapa
  - Baadhi ya njia zinazotumika kupitisha madawa ya kulevya uwanja wa ndege JKNIA
  - Madawa ya kulevya: Mtanzania afia Dubai, wengine wadaiwa kukamatwa China na Brazil
  - Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) naye akamatwa Brazil
  - Mwanajeshi Rashid Mohamed akamatwa na mirungi kilo 20 huko Tanga
   
 2. MLAU

  MLAU JF-Expert Member

  #801
  Jan 9, 2017
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 4,466
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Natamani sana ningekuunganisha na watumia madawa ya kulevya tena wale addicted na walioacha li upate picha kamili nadhani unawaona tu kwa mbali ndiyo ungefahamu nasema nini.
   
 3. Heroine CA

  Heroine CA Senior Member

  #802
  Jan 9, 2017
  Joined: Jan 2, 2017
  Messages: 134
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 60
  Kwa mfano kama anayerahisisha biashara hizo ni police, unaonaje ukubwa wa hili tatizo? Hivi ambulances zote tunazopisha foleni ya Dar huwa zimebeba wagonjwa kweli? Hasa lile kubwa kuliko yote. Huu mchezo ni wa hatari lakini anayeuza ndiye anatakiwa azuie. Nenda bahari ya pangani uone boti zinavyoingia usiku na mizigo. Hii ni biological/chemical weapons. Killing softly. Anayeanza kutumia hawezi kutoka! Hawezi.
   
 4. wakusoma

  wakusoma JF-Expert Member

  #803
  Jan 10, 2017
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 949
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 180
  Wakuu,

  Ili kuweka mambo sawa na kujaribu kuisaidia serikali yetu kupambana na wauza unga basi nashauri tuwataje mapusha (wauza unga wa kupima) wote ambao tunawajua pengine wapo mtaani kwetu tunapoishi au kijiwe chochote cha mtaani kwako ambacho unahisi poda inauzwa ili tuwaumbue wakamatwe.

  Kwa kuanzia tu mimi naanza naanza na Mwenge Bamaga, karibu na Sibuka FM kuna maskani nje kuna bendera ya chama wanakaa sana nje pale majanki wana magari yao wanatia story 24/7 ila biashara kubwa pale no unga wa kupima.Taja na wewe mtaani kwako kama kuna pusha yeyote anaeharibu vijana wetu.
   
 5. TADPOLE

  TADPOLE JF-Expert Member

  #804
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 18, 2015
  Messages: 462
  Likes Received: 652
  Trophy Points: 180
  Hapo mwenge namuonaga hadi yule dogo young d ila sielewagi kuna ishu gani coz mi napitaga tu
   
 6. py thon

  py thon JF-Expert Member

  #805
  Jan 10, 2017
  Joined: Sep 11, 2016
  Messages: 2,276
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  Aaah kisha tukishataja

  Police post wanawafahamu mapusha wote..

  Kila police post wanawafahamu mapusha wa eneo husika

  Mnajipotezea muda kuandika hayo maeneo
   
 7. pistmshai

  pistmshai JF-Expert Member

  #806
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 12, 2016
  Messages: 1,327
  Likes Received: 3,568
  Trophy Points: 280
  Hata Ali Kiba nshawahi kumuona Hapo anarandaranda tu!
   
 8. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #807
  Jan 10, 2017
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Wapuuzi mtozeni hawa wanasumbuana na wavuta shisha wakati madawa ya kulevya hawagusi kabisa.
  Ninaamini hili ni mojawapo ya maeneo ambayo Baba J pamoja na umwamba wote anaotumia kuminya na kunyanyasa wapenda haki hathubutu kuyagusa. Tuna serikali dhaifu kama ya Kikwete tu, terribly weak, a toothless barking dog ndiyo namna pekee ninayoweza kuielezea.
  Ufisadi na madawa ya kulevya ndiko mahala breki zake zinakofungwa; hakuna mwenye jeuri ya kutia mguu kwenye maeneo haya mawili.
   
 9. Dr Simba

  Dr Simba JF-Expert Member

  #808
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 27, 2016
  Messages: 798
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 180
  Unajisumbua tu na uzi wako police wanafahamu vijiwe vyote vya wauza unga Tanzania na huwa wanapita kuchukua Mtonyo wao na kusepa. !!!
   
 10. kiogwe

  kiogwe JF-Expert Member

  #809
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 3,218
  Likes Received: 3,630
  Trophy Points: 280
  Uisaidie serikali vp km sio umbea mkuu uwaharibie mapusha liziki yao km kupambana na unga wauzaji wakubwa wanajulikana wanaachwa.wewe uhangaike na vijiwe utakufa siku sio zako mkuu
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #810
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Taratibu ankal, usijesababisha Maxence arudi behind bars, siyo pazuri kabisa huko
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #811
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280

  Hakuna kitu kibaya kama kudanganya, amma kwa makusudi amma kwa kutokuelewa vizuri. Ni vyema kitu kama hukielewi sawasawa ukafanya research au ukauliza wenye uelewa mpana zaidi yako.

  Hapo juu umeongelea "cocaine" kuwa ni mbaya zaidi na ukataja kuwa inapatikana pia "Afghanistan". Huo si ukweli.

  Afghanistan hupatikana "Opium" ambayo ndiyo mali ghafi ya kutengenezea "heroine".

  "Cocaine" hutokana na majani ya "coca" na hutoka kwa wingi huko Amerika ya Kusini.

  Hayo majani huko huliwa mabichi (kabla hayajafanywa cocaine) kama vile huku kwetu watu walavyo mirungi.

  Kuwa makini usipotoshe watu.
   
 13. Muwindaji

  Muwindaji JF-Expert Member

  #812
  Jan 10, 2017
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 245
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Habarini wanajamvi.

  Leo katika pitapita zangu huko Instagram nimekutana Na hiyo post ya Dada huyu anayevumbua mengi ambayo watanzania hawayajui.

  Majina hayo Ni Kinje, Majizo Na Nnsembo.

  Kutokana Na kina cha tatizo la madawa ya kulevya tunaomba serikali ianze Na watu hawa ili kuokoa vijana.

  1484078902074.jpg
   
 14. Adolph hitler jr

  Adolph hitler jr JF-Expert Member

  #813
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 5, 2016
  Messages: 1,794
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  Mmmmh
   
 15. Dinazarde

  Dinazarde JF-Expert Member

  #814
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 30,695
  Likes Received: 10,532
  Trophy Points: 280
  Ushahidi sio maneno tu
   
 16. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #815
  Jan 10, 2017
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Mange Kimambi tena????
   
 17. Muwindaji

  Muwindaji JF-Expert Member

  #816
  Jan 10, 2017
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 245
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Sio mchezo, ifike wakati tuseme yatosha.
   
 18. Makuku Rey

  Makuku Rey JF-Expert Member

  #817
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 31, 2013
  Messages: 1,446
  Likes Received: 610
  Trophy Points: 280
  mbona siyo maarufu?maana kuuza madawa ya kulevya ni sanaa kama MUZIKI!Mbona pedeshee Ndama ni superstar?
   
 19. Muwindaji

  Muwindaji JF-Expert Member

  #818
  Jan 10, 2017
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 245
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Kutafuta ushahidi Ni kazi ya jamhuri, sitegemei kwamba tatizo kubwa kama hili linalopoteza vijana serikali ambayo inajali wananchi wake italiacha lipite hivi hivi.

  Wahusika wakamatwe wahojiwe.
   
 20. Sky Eclat

  Sky Eclat JF-Expert Member

  #819
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 19,718
  Likes Received: 48,188
  Trophy Points: 280
  Huyu Mange haya maneno mbona hakumwambia Nsembo wakati anampiga makofi pale Dar Free Market?
   
 21. KWEZISHO

  KWEZISHO JF-Expert Member

  #820
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 29, 2016
  Messages: 6,702
  Likes Received: 5,206
  Trophy Points: 280
  Wakubwa watajifanya hawajaona
   
Loading...