Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
my wii naona leo zam yako.......
jamani, jamani...... Mkuki kwa nguruwe......... Nimekomaje!
my wii naona leo zam yako.......
Heaven on earth utakubali iwe siri?Excellent na mie naomba kudatishwa............
Humu kuna raia wanakula mizigo kiukweli ukweli we kalia keyboard shtukaaa bro
Heaven on earth utakubali iwe siri?
ya mi na wewe bila mtu kujuaSiri yangu mwenyewe au siri yangu mi na wewe......
ya mi na wewe bila mtu kujua
sawa hii ni SIRI YETU ila nna hamu na huo utamu........
Ndoa za chitchat sasa naona zimekuwa janga la kitaifa,mi nashukuru mke wangu The secretary kajituliza kama kasuku maana raha ninazompa we acha tu,Eid nampeleka bangkok.
Bishanga nae ahesabu maumivu tu............Humu kuna raia wanakula mizigo kiukweli ukweli we kalia keyboard shtukaaa bro
nakuhurumia usije ukalia machozi ya utamusawa hii ni SIRI YETU ila nna hamu na huo utamu........
wii napita tu......... Namtafuta kaka angu figganigga tukaangushe kabati
nakuhurumia usije ukalia machozi ya utamu
na mie nimemlipizia alivyonifanyia jana,nilimkuta maeneo hatarishi sikukwambia tu........
hata mi niliona akiwa na yule sijui Mary pizza sema nikanyamaza maana hamkawii kusema ma wifi wabaya,
jamani, jamani...... Mkuki kwa nguruwe......... Nimekomaje!
hahaaaa!!shem kwani mlifanyana nini mpakaLady doctor mke wangu mpenzi, nakupenda sana! Acha kuwa na fikra potofu kwa mimi kumkumbuka Madame B, yeye ni mke wa kamanda mwenzangu aitwaye Ben Saanane. Waulize kina Filipo Erickb52 marejesho figganigga na Passion Lady watakudhibitishia.
Lady doctor mke wangu mpenzi, nakupenda sana! Acha kuwa na fikra potofu kwa mimi kumkumbuka Madame B, yeye ni mke wa kamanda mwenzangu aitwaye Ben Saanane. Waulize kina Filipo Erickb52 marejesho figganigga na Passion Lady watakudhibitishia.