Madame B nimekukumbuka SANA.....!!!

Madame B nimekukumbuka SANA.....!!!

hata sielewi mpenzi nimepoteza mawasiliano nae tangu kaondoka
kuna mtu hapa cc kamuhifadhi

Ndoa za chitchat sasa naona zimekuwa janga la kitaifa,mi nashukuru mke wangu The secretary kajituliza kama kasuku maana raha ninazompa we acha tu,Eid nampeleka bangkok.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ndoa za chitchat sasa naona zimekuwa janga la kitaifa,mi nashukuru mke wangu The secretary kajituliza kama kasuku maana raha ninazompa we acha tu,Eid nampeleka bangkok.

Humu kuna raia wanakula mizigo kiukweli ukweli we kalia keyboard shtukaaa bro
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom