Khaaaaaaaaaaaa!!!! mimi kwa kweli sijawahi kusikia binadamu akawa chuma chakavu, na hata siku moja ya kale hayanuki, na X huwa hatongozwi tena, kwa hiyo usijidanganye kama Arushaone anaweza kumuacha Madame B, hicho kitu sahau,Mkuu Arushaone
Kwanza kabisa unapaswa kuelewa kuwa ukipata chombo kipya cha zamani tupa. Ikiwezekana uza kana chuma chakavu.
Tamaa tamaa zitakuponza. Tulia na kipenzi chako ( kama kweli ndivyo).
ladydoctor ni mwanamke mwenye sifa za uanamke. Anajua nini mwanaume anataka (Usiniulize nimejuaje).
Madame B kwako ni chuma chakavu.
Ni hilo tu, ila siku hizi nimeoa, Lady doctor hupika na kupakua nyumbani kwangu. Ila ki-ukweli nimekumiss my X.
Siku zote cha zamani hakinuki
thread closed.....it is so ordered
naona umeamua kunilipizia kisasi kwa Vin Diesel...........!!!!!!! Haki ya nani leo spiki, sifui na apple hupati!!!!!!!!
kimenuka tayari,mi sinilikwambia hawa wababa wana mambo shosti
niko chini ya miguu yako nakuomba usilewe utamwaga radhi bure wakati mwenzio anamuwaza Madame B
kaza moyo pigania ndoa yako bado changa mno
Kwani kiwatengu kapotea kimoja?
muulize mkewe!
unanishauri nini shost? Wakati we mwenyewe yako imekushinda, hebu twende tukalewe banaa!!!!!!
twende nikakuleweshe mimi......
Karibu lunch Lady doctor maana naona uko kwenye mood ya kumnyofoa mtu kikojolea,umekerwa nin?
nifuate home twende