Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Hizi ndiyo threads zinazopendwa mtandaoni
Nilikumiss sana shem wangu.
M4C ndo kila kitu.
Hizi ndiyo threads zinazopendwa mtandaoni
Missing you mingii.....mwaaaahMy wii, mie sijambo.
Shem mbona tunatishiana maisha eroo!Unabisha nini shem? Nitakurushia Mbu akung'ate upate Malaria Sugu afu sitokupa Asprin ya kutuliza maumivu wala @Klorokwin ya kukutibu.
Missing you mingii.....mwaaaah
Ushapona?
Ndo nakwambia hebu jaribu kumgusa my Huz wangu uone kama leo kutakuchwa.
Walah tena, tagawana majengo ya serikali ya JK mie na wewe Lady doctor.
Uliwachezea wale vyeupe, Ben wangu chekundu na atakuweka madoa.
Waoooh..karibu tenaNimeshapona my dear.
Nafuu nipate wapi wakati wewe kuonekana wala huonekani.
Raha ya mla vitamu ale nduguze; ukijifungia ndani kwa choyo walimwengu watatuaje ulichonacho kitamu?? Pokeeni mkono wa Eid acha niwatafute makamanda wangu Matola na Mwita Maranya tukapate vinywaji visivyo na viwango vya TBS! Tutayumba kwa mtindo wowote !
Hahaha!
Asante chama.
Mmeshamaliza vikao na Green Guard wenzio?
Niliwadeku kunako luninga.
Labda binamu Mwita Maranya, lakini hasimu wangu Matola angalie asiwafanyie kitu mbaya, maana mamluki yule, keshakamatishwa buku 7.
Nisalimie Gongo la Mboto.
Ishia hapohapo kwani mdogo wako Lady doctor ana wivu mpaka kwa dada zake kama ilivyo kwa pacha mwenzake Passion Lady.